Tetesi: Msemaji mpya wa CCM ni Dkt....

Ni mwelekeo mzuri.Natamani CCM mpya iliyosheheni wasomi wazuri na wenye weledi wa hali ya juu.
usomi usaidie nini kwenye siasa, nshomile kila mahali, siasa ni jukwaa hatuendi research kule mnataka maprofesa kila mahala
 
Ndio,bora tu wawe wasomi wazuri na wenye weledi.Wasomi wana mawazo mapana na yanayolenga mbali.Huo ndio ukweli,ukiupinga utakuwa na matatizo binafsi.Tunataka CCM ya kisasa zaidi.
usomi usaidie nini kwenye siasa, nshomile kila mahali, siasa ni jukwaa hatuendi research kule mnataka maprofesa kila mahala
 
T
Tatizo la kushiba kunde mchana kweupe sijuia nawe umekuwa Sheikh Yahya
 
si wampe yule lusinde
 
T

Tatizo la kushiba kunde mchana kweupe sijuia nawe umekuwa Sheikh Yahya
Sina UHUSIANO na aliyekuwa Shehe aliyeitwa Yahaya. Miye ni Honorabo Sheikh Amri Albert Abeid Chuwa, LL.D, Chifu Mwambata wa Wa Kibosho... Kitukuu cha Mangi Sina...
 
Au mhandisi
 
Olesendeka aanze kujitafakari. Maana katukana upinzani sana na nia yakupelekwa kwenye rc atatmbuliwa wakati huo nafasi ccwezi itakua ishajazwa na mtu wa ukanda uleeeeee, halafu asubiri kupangiwa kazi nyingine,
 
Kwwli bhana. Wampe Propesa Lipumbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…