Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
usomi usaidie nini kwenye siasa, nshomile kila mahali, siasa ni jukwaa hatuendi research kule mnataka maprofesa kila mahalaNi mwelekeo mzuri.Natamani CCM mpya iliyosheheni wasomi wazuri na wenye weledi wa hali ya juu.