ndoze
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 1,187
- 1,108
Makonda kwani na yeye dokiiita?Ndugu Christofa Sendeka kateuliwa kuwa RC Njombe. Huyu alikuwa Msemaji (Afisa Habari na Uenezi wa CCM Taifa). Nafasi hiyo sasa i wazi. Itajazwa na Mwana CCM siku za karibuni. Hii itakuwa kabla ya Mwaka mpya 2017. Kwa utaratibu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, nafasi nyeti za Serikali, hata Chama zinapewa WASOMI. Hawa ni Madakitari wa Falsafa na pengine Maprofesa. Kwa Mtiririko huu, Nafasi ya Msemaji wa CCM Taifa itaenda kwa Mtu mwenye kiwango hiki cha elimu...