Tetesi: Msemaji mpya wa CCM ni Dkt....

Tetesi: Msemaji mpya wa CCM ni Dkt....

Ndugu Christofa Sendeka kateuliwa kuwa RC Njombe. Huyu alikuwa Msemaji (Afisa Habari na Uenezi wa CCM Taifa). Nafasi hiyo sasa i wazi. Itajazwa na Mwana CCM siku za karibuni. Hii itakuwa kabla ya Mwaka mpya 2017. Kwa utaratibu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, nafasi nyeti za Serikali, hata Chama zinapewa WASOMI. Hawa ni Madakitari wa Falsafa na pengine Maprofesa. Kwa Mtiririko huu, Nafasi ya Msemaji wa CCM Taifa itaenda kwa Mtu mwenye kiwango hiki cha elimu...
Makonda kwani na yeye dokiiita?
 
....nafasi hii wala haiitaji msomi kama Dr.....maana hata huyo Sendeka si Dr..lakin alipewa nafasi hii....Navyoona nafasi hii hupewa kwa waliofulia kama fadhila kwa chama chao...hivyo sitoshangaa watu mithili ya Wasira wakipewa nafasi hii...ili kuwaepusha na aibu huko mitaani....
 
hiyo nafasi ccm haijawahi kupewa dkt, kwanza hata uongoz wa juu wa ccm, hakuna ashawahi kuwa na elimu ulizozitaja hapo juu, ukiachilia huyu mwenyekiti wenu wa sasa(ingawa elimu yake na yy haina mtiririko mzur)....

tangu lini mnafiki akawa na kiwngo cha elimu ya juu, ndio maana huko kwenu maprof na madkt, wanaacha wanafiki watawale
 
Back
Top Bottom