Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

We ni mtoto? Unataka mtu akuambie mwili haujahifadhiwa umetupwa au umeoza ? Hayo ni maswali ya mtu asiyejua mazingira ya vita . Ipo miili hairudi na ipo inayoweza kurudi ndio vita hiyo
 
Israeli siku ya tukio tarehe 7.10.2023
WaKamuuua wakambeba wakaondoka nae gaza.uenda walikuwa wana mfahamu,ndo maana mpaka maiti yake wakaondoka nayo.joshua alikuwa mtu wa namna gani.isije ikawa kama vijana wa Kenya na tanzania wanaokwenda Somalia kujiunga na al shabab kimya kimya
 

Kweli hata wapumbavu uzeeka.
 
Nina uhakika wa asilimia zaidi ya 90 Hamas hawana huo mwili wa Joshua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali yangu yapo wazi sana mkuu uneamua tu kutonielewa anyway siyo kesi mkuu.tusubiri labda huko mbele tutapata taarifa nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WaKamuuua wakambeba wakaondoka nae gaza.uenda walikuwa wana mfahamu,ndo maana mpaka maiti yake wakaondoka nayo.joshua alikuwa mtu wa namna gani.isije ikawa kama vijana wa Kenya na tanzania wanaokwenda Somalia kujiunga na al shabab kimya kimya
Inashangaza alikua ana u special gani mpaka waamue kuchukua maiti yake.
 
Siyo Mtanzania tena daaah.
Ndio ujuwe kuwa hawa jamaa ni hatari. Wamemuua joshua ili kusambaza kampeni ya "Black lives matter" kutafuta uungwaji mkono na matendo yao dhidi ya wapalestina.
 
We ni mtoto? Unataka mtu akuambie mwili haujahifadhiwa umetupwa au umeoza ? Hayo ni maswali ya mtu asiyejua mazingira ya vita . Ipo miili hairudi na ipo inayoweza kurudi ndio vita hiyo
🤣🤣🤣🤣
 
We huwafahamu wayahudi, kwenye jeshi la Israel kuna askari wengi tu hadi marubani wana mafunzo ya kuongea kiarabu vizuri, acha kuongea vizuri, wanazungumza kwa lafudhi ya nchi husika, wanaweza ongea kiarabu chenye lafudhi ya Saudia, Syria, Palestine n.k, kwenye jeshi la Israel kuna askari wengi tu ambao ni arabs jews, kwenye operation yao kwenda kupiga kinu cha nuclear Iraq.
marubani wa Israeli walizungumza kwa Kiarabu chenye lafudhi ya Saudia wakiwa katika anga ya Jordan na kuwaambia Jordan kuwa walikuwa doria ya Saudia ambayo ilikuwa imepotea njia.

Walipokuwa wakiruka juu ya Saudi Arabia, walijifanya kuwa Wajordani, wakitumia ishara na mifumo ya redio za Jordan.


Lakini niachie hapo ukweli utafahamika.
 
siku chache mlipost miili ya wafu iliyotekwa na hamas , pia mlipost jeshi la idf kukataa kubadilishana miili ya marehem ya waisrael kwa wafungwa wa kipalestina , leo mnakuja na maswali , hapo mjione mwingine mnavyokuwa wapumbav kubisha tu lolote linalowakera na kuunga mkono lolote linalowafurahisha bila kujali ukwel
 
juz walipost kuwa hamas waliomba kubadilishana wafungwa wa kipalestina kwa miili ya waisrael , leo wanajiuliza eti wanatunzia wap , hawa waislam ttzo kbs
 
Na wewe umejibu maswali au umejazia?
huyu huyu mtoa majuz walipost kuwa hamas walitaka wabadilishane maiti za waisrael kwa wafungwa wa kipalestina , haya maswali yake alipaswa kujiuliza kweny ile post ila ndo alikuwa mshabiki mzur wa maiti zile , sa hv ndo kakumbuka kuwa gaza haina umeme
 
Mwili hauozi jamaa wa kipekee sn
Na waislam wanavyopenda kuwahi kufukia maiti ,Eti wanaushikilia, Nani apigane vitu Huku anng'ang'anie mzoga ?
ila si majuz mlipost hamas walitaka kubadilishana miili ya marehem wa kiisrael kwa wafungwa kipalestina , je haya hamkuyajua hapo awali ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…