We huwafahamu wayahudi, kwenye jeshi la Israel kuna askari wengi tu hadi marubani wana mafunzo ya kuongea kiarabu vizuri, acha kuongea vizuri, wanazungumza kwa lafudhi ya nchi husika, wanaweza ongea kiarabu chenye lafudhi ya Saudia, Syria, Palestine n.k, kwenye jeshi la Israel kuna askari wengi tu ambao ni arabs jews, kwenye operation yao kwenda kupiga kinu cha nuclear Iraq.
marubani wa Israeli walizungumza kwa Kiarabu chenye lafudhi ya Saudia wakiwa katika anga ya Jordan na kuwaambia Jordan kuwa walikuwa doria ya Saudia ambayo ilikuwa imepotea njia.
Walipokuwa wakiruka juu ya Saudi Arabia, walijifanya kuwa Wajordani, wakitumia ishara na mifumo ya redio za Jordan.
Lakini niachie hapo ukweli utafahamika.