Uchaguzi 2020 Msemaji Tume: Kila Mgombea aliyefika kwa wakati Kupokelewa Fomu zake

Uchaguzi 2020 Msemaji Tume: Kila Mgombea aliyefika kwa wakati Kupokelewa Fomu zake

Nzwangendaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2019
Posts
518
Reaction score
722
Afisa wa Tume anayehusika na habari na Mawasiliano, punde ametoa ufafanuzi kumtu Kupitia TBC1 kuhusu wagombea waliowaiting room kuwa, kuchelewa kwa baadhi ya wagombea kuingia chumba maalum cha uteuzi/kupokelewa fomu zao kunatokana na zoezi la uhakiki wa fomu zenyewe na uhakiki wa wadhamini. Tume ni lazima ijiridhishe kama waliomdhamini mgombea ni kweli kuwa ni wapiga kura. Na mambo mengine

Kwa wale waliopeleka kabla majina hayo kukaguliwa ktk ngazi ya Jimbo au kupelekea tume kabla, zoezi hili kwao ni la haraka zaidi, ila kama hukuwa umepeleka majina hayo kabla, basi itabidi uwe mpole kidogo kujiridhisha.

Pia ameeleza kuwa, wagombea wote ambao wamefika kituoni hapo kabla ya saa 10 watasikilizwa hadi waishe, isipokuwa kama mtu atafika baada ya saa 10. Kwa hiyo wale walio na wasiwasi kuhusu wagombea wa vyama vyao hasa CHADEMA, bila shaka wote watapata hiyo fursa ya kusikilizwa na Kkwasilosha fomu zao za uteuzi na baadae kuteuliwa kama wamekidhi vigezo vyote kwa kadri ya taratibu walizopewa. Wandugu tuwe na subira.

Tuzidi iombea tume Mungu awajaalie wafanye kazi kwa weledi, kwa kuzingatia maadili, sheria na taratibu, Uwazi na kutenda haki

#maendeleo hayana chama
 
Najiuliza hivi watu wote walioandikoshwa kama wadhamini taarifa zao zote kweli zinaweza kuwa sahihi? Ni nani alikuwa na jukumu la kuandika majina kwenye fomu ya udhamini?

Je watu waliandika wenyewe? Kama mtu aliandika jina au namba na akakosea Tume ikaona kuwa hiyo namba sio sahihi, inakuwaje?

Au kama amekuja mtu kwenye Kundi akudhamini kumbr ni mamluki wa chama kingine akaandika namba na jina lisiloendana na taarifa zake kwa makusudi je itakuwaje hapo? Najiuliza tu, kwenye mazingira kama haya nini kinatokea.
 
Najiuliza hivi watu wote walioandikoshwa kama wadhamini taarifa zao zote kweli zinaweza kuwa sahihi? Ni nani alikuwa na jukumu la kuandika majina kwenye fomu ya udhamini? Je watu waliandika wenyewe? Kama mtu aliandika jina au namba na akakosea Tume ikaona kuwa hiyo namba sio sahihi, inakuwaje? Au kama amekuja mtu kwenye Kundi akudhamini kumbr ni mamluki wa chama kingine akaandika namba na jina lisiloendana na taarifa zake kwa makusudi je itakuwaje hapo? Najiuliza tu, kwenye mazingira kama haya nini kinatokea.
Ndio maana wengine wanaojitambua walienda toka Jana kuhakiki ili wasilete tabu Kama hizo.
 
Halafu ukute ni Malaki ya watu. Umekwenda ba marundo ya makaratasi.
Ni ajabu kwamba CHADEMA hawakuona umuhimu wa kuhakiki taarifa zao mapema kabka ya siku ya uteuzi.Maombo mengine wajilaumu wao wenyewe.
 
Wapinzani wanahitaji tume huru. Hii tume kama ilivyotarajiwa, tayari imeinamia kwa CCM. Mara tu baada ya uchaguzi huu, kazi iwe ni kutafuta tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya 2025. Bila hivyo, hizi sarakasi zitaendela kila baada ya miaka 5!
Tuzidi iombea tume Mungu awajaalie wafanye kazi kwa weledi, kwa kuzingatia maadili, sheria na taratibu, Uwazi na kutenda haki
 
Walitoa siku 3 kabla ya leo watu wapeleke hao wadhamini kuhakikiwa ili kama kuna tatizo mtu asolve mapema kabla ya leo. Pia uhakiki ulikuwa unaweza kufanywa na wasimamizi waliopo kwenye majimbo. Labda CCM wao walishahakikiwa kwenye muda huo na makaratasi kugongwa mihuri kabisa.
Je walimuweka Magufuli waiting room kuhakiki wadhamini wake au hii ni kwa kina Lisu tu? Naiona The Hague kwa watu fulani hapa hivi hawamuulizi Kenyata joto la Hague likoje?
 
Afisa wa Tume anayehusika na habari na Mawasiliano, punde ametoa ufafanuzi kumtu Kupitia TBC1 kuhusu wagombea waliowaiting room kuwa, kuchelewa kwa baadhi ya wagombea kuingia chumba maalum cha uteuzi/kupokelewa fomu zao kunatokana na zoezi la uhakiki wa fomu zenyewe na uhakiki wa wadhamini. Tume ni lazima ijiridhishe kama waliomdhamini mgombea ni kweli kuwa ni wapiga kura. Na mambo mengine

Kwa wale waliopeleka kabla majina hayo kukaguliwa ktk ngazi ya Jimbo au kupelekea tume kabla, zoezi hili kwao ni la haraka zaidi, ila kama hukuwa umepeleka majina hayo kabla, basi itabidi uwe mpole kidogo kujiridhisha.

Pia ameeleza kuwa, wagombea wote ambao wamefika kituoni hapo kabla ya saa 10 watasikilizwa hadi waishe, isipokuwa kama mtu atafika baada ya saa 10. Kwa hiyo wale walio na wasiwasi kuhusu wagombea wa vyama vyao hasa CHADEMA, bila shaka wote watapata hiyo fursa ya kusikilizwa na Kkwasilosha fomu zao za uteuzi na baadae kuteuliwa kama wamekidhi vigezo vyote kwa kadri ya taratibu walizopewa. Wandugu tuwe na subira.

Tuzidi iombea tume Mungu awajaalie wafanye kazi kwa weledi, kwa kuzingatia maadili, sheria na taratibu, Uwazi na kutenda haki

#maendeleo hayana chama
Hapa tatizo tume imepata wakati mgumu wa kuwatafutia makosa CDM kutokana na maagizo waliyopewa
 
Meko kamaliza dk15 tu pale ofisi za NEC alipowasilisha fomu yake,je tume imetumia muda gan kuhakiki wadhamini wake kama ni wapiga kura kweli?,,
Soma tena post ya kwanza.

Kama aliwahi kuhakiki majina ya wadhamini na namba zao za kupiga kura majimboni basi zoezi lake linaenda haraka.

Kwa wale manguli ambao hawakuona haja ya kuhakiki wapigakura wao a.k.a. wadhamini huko jimboni basi wawe wapole maana majina yanapitiwa.

Si unajua kuna janja janja katika baadhi ya hao wanapgombea?
 
Back
Top Bottom