Uchaguzi 2020 Msemaji Tume: Kila Mgombea aliyefika kwa wakati Kupokelewa Fomu zake

Najiuliza hivi watu wote walioandikoshwa kama wadhamini taarifa zao zote kweli zinaweza kuwa sahihi? Ni nani alikuwa na jukumu la kuandika majina kwenye fomu ya udhamini? Je watu waliandika wenyewe? Kama mtu aliandika jina au namba na akakosea Tume ikaona kuwa hiyo namba sio sahihi, inakuwaje? Au kama amekuja mtu kwenye Kundi akudhamini kumbr ni mamluki wa chama kingine akaandika namba na jina lisiloendana na taarifa zake kwa makusudi je itakuwaje hapo? Najiuliza tu, kwenye mazingira kama haya nini kinatokea.
Hilo nalo neno
 
Afisa wa Tume anayehusika na habari na Mawasiliano, punde ametoa ufafanuzi kumtu Kupitia TBC1 kuhusu wagombea waliowaiting room kuwa, kuchelewa kwa baadhi ya wagombea kuingia chumba maalum cha uteuzi/kupokelewa fomu zao kunatokana na zoezi la uhakiki wa fomu zenyewe na uhakiki wa wadhamini. Tume ni lazima ijiridhishe kama waliomdhamini mgombea ni kweli kuwa ni wapiga kura. Na mambo mengine

Kwa wale waliopeleka kabla majina hayo kukaguliwa ktk ngazi ya Jimbo au kupelekea tume kabla, zoezi hili kwao ni la haraka zaidi, ila kama hukuwa umepeleka majina hayo kabla, basi itabidi uwe mpole kidogo kujiridhisha.

Pia ameeleza kuwa, wagombea wote ambao wamefika kituoni hapo kabla ya saa 10 watasikilizwa hadi waishe, isipokuwa kama mtu atafika baada ya saa 10. Kwa hiyo wale walio na wasiwasi kuhusu wagombea wa vyama vyao hasa CHADEMA, bila shaka wote watapata hiyo fursa ya kusikilizwa na Kkwasilosha fomu zao za uteuzi na baadae kuteuliwa kama wamekidhi vigezo vyote kwa kadri ya taratibu walizopewa. Wandugu tuwe na subira.

Tuzidi iombea tume Mungu awajaalie wafanye kazi kwa weledi, kwa kuzingatia maadili, sheria na taratibu, Uwazi na kutenda haki

#maendeleo hayana chama
Aaache siasa tushawazoea
 
Shetani atawapa NEC wanachotaka soon😀😀😀
 
Bro! Hapa nimejiuliza sn. Mtu anaweza kutia jina na taarifa kumbe amekuingiza chaka makusudi, ukileta unaambiwa hawa wadhamini ni famba hakuna hawa watu kwenye database yetu. Na kigezo kimoja wapo cha pingamizi ni hao wadhamini pia
Hilo nalo neno
 
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa elimu Mama Aswile, vyama ambavyo wadhamini wake walihakikiwa na wasimamizi wa majimbo vimehudumiwa kwa haraka, vile vingine kama CHADEMA ambavyo havikufanya hivyo, uhakiki wake unafanywa kwanza ndani ya tume kabla ya kuthibitishwa.

CHANZO: MAHOJIANO TBC1
 
Msemaji wa tume akizungumza Muda si mrefu alivitaja Vyama mbavyo mpaka saa tisa vilikuwa havijawasili mpaka Muda huo kikiwemo chama Cha CCK kwamba hawajapata mrejesho wowote kuhusu Vyama hivyo ila Muda huu navyoandika CCK ndo mojawapo ya chama kilicho mbele ya Tume kwa ajili ya kuteuliwa ila tundulisu ambaye alifika saa tano mpaka Sasa hajaitwa kulingana na ratiba ilivyotolewa,,
Nahisi Kuna kitu kinatafutwa dhidi ya mgombea wa Chadema,

Let's tune in.
Screenshot_2020-08-25-13-21-44-76_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Tarehe 25 Agosti 2020
Dodoma, Tanzania

Urais, Fomu kuhakikiwa na Kutangazwa Kuteuliwa , kisha kusubiria kama kuna pingamizi

Baada ya fomu kuhakikiwa na kutangazwa kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa kila kitu kipo sawa kuna zoezi muhimu.

Muda wa pingamizi ni kuanzi saa 10:00 jioni ya tarehe 25 Agosti 2020 hadi saa 10:00 jioni siku inayofuata yaani tarehe 26 Agosti 2020.

Zoezi hilo muhimu ni hatua inayofuata ni kusikia kama wagombea wamewekewa pingamizi na wale wadau wanaotambulika na Tume ya Uchaguzi, kisha wagombea wateuliwa kupata nafasi ya kujibu.

Wenye haki ya kuweka pingamizi ngazi ya Urais na Makamu ni hawa wadau watatu yaani Mkurugenzi wa Uchaguzi, Msajili wa Vyama Vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Pingamizi ngazi ya Urais linatakiwa kuletwa kwa maandishi katika fomu namba 9A na pingamizi hilo liwakilishwe ndani ya muda muafaka unaoanzia muda uliotajwa hapo juu na sababu za pingamizi litajwe.

Hivyo waliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ngazi ya Urais kama wateule baada ya kuhakiki fomu na nyaraka wote wanaweza kuwekewa pingamizi muda wowote kuanzia muda wa saa 10:00 jioni ya leo tarehe 25 Agosti 2020 na mwisho wa kuwakilisha pingamizi ni kesho saa 10:00 jioni tarehe 26 Agosti 2020.
..............................................................................

Dar es Salaam, Tanzania
Wagombea ubunge fomu kuhakikiwa na kisha kutangazwa baadaye Tume wanasubiri kama kunapingamizi ili wabunge wareuliwa wajibu pingamizi hizo.
 
Afisa wa Tume anayehusika na habari na Mawasiliano, punde ametoa ufafanuzi kumtu Kupitia TBC1 kuhusu wagombea waliowaiting room kuwa, kuchelewa kwa baadhi ya wagombea kuingia chumba maalum cha uteuzi/kupokelewa fomu zao kunatokana na zoezi la uhakiki wa fomu zenyewe na uhakiki wa wadhamini. Tume ni lazima ijiridhishe kama waliomdhamini mgombea ni kweli kuwa ni wapiga kura. Na mambo mengine

Kwa wale waliopeleka kabla majina hayo kukaguliwa ktk ngazi ya Jimbo au kupelekea tume kabla, zoezi hili kwao ni la haraka zaidi, ila kama hukuwa umepeleka majina hayo kabla, basi itabidi uwe mpole kidogo kujiridhisha.

Pia ameeleza kuwa, wagombea wote ambao wamefika kituoni hapo kabla ya saa 10 watasikilizwa hadi waishe, isipokuwa kama mtu atafika baada ya saa 10. Kwa hiyo wale walio na wasiwasi kuhusu wagombea wa vyama vyao hasa CHADEMA, bila shaka wote watapata hiyo fursa ya kusikilizwa na Kkwasilosha fomu zao za uteuzi na baadae kuteuliwa kama wamekidhi vigezo vyote kwa kadri ya taratibu walizopewa. Wandugu tuwe na subira.

Tuzidi iombea tume Mungu awajaalie wafanye kazi kwa weledi, kwa kuzingatia maadili, sheria na taratibu, Uwazi na kutenda haki

#maendeleo hayana chama
Tanzania roho za korosho korosho tu.
Mfano tume ingeweka wazi before kwamba ukiwa unapita majimboni waweza hakikisha wadhamini wako kupitia ofisi zetu za huko. Mbona watu wangeweza kufanya hivyo?
Baasi tu watu kuteganaaaa. Haya baasi kalisheni naniliu zenu hapo mchunguze uhalali wa wadhamini na overtime mlipwe pia ili hizo naniliu zenu sijui balls ziwe kubwa zaidi
 
Atleast, this is great, wacha uchaguzi ukawe na mvuto wake, mwisho wa siku sanduku la kura ndio liamue nani mshindi.
Usiwaamini hawa watu hata siku moja! Ni watu hatari sana. kumbuka ccm na nec ni nyani na ngedere!
 
Historia Itawahukumu kwa Kinachoendelea.. Kuna siku Tutajua Mungu ni zaidi ya Nafasi Tulizonazo. Huyu Huyu anayesota Waiting room Kuna siku tutashindwa kushangaa....Lolote laweza kutokea kama risasi 16 Hazikufua dafu je Hatuoni chochote kwenye hilo.. Time will tell, God give us uvumilivu so that we can witness your presence in this regards.
 
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa elimu Mama Aswile, vyama ambavyo wadhamini wake walihakikiwa na wasimamizi wa majimbo vimehudumiwa kwa haraka, vile vingine kama CHADEMA ambavyo havikufanya hivyo, uhakiki wake unafanywa kwanza ndani ya tume kabla ya kuthibitishwa.

CHANZO: MAHOJIANO TBC1
Uelewa mdogo wa wanasaccos ndiyo shida. Msaliti Lissu anajifanya anajua sana, sasa alikuwa anahangaika na mikutano tuuu amezidiwa hata na CHAUMA. Halafu huyu anataka aongoze Tanzania??!! Never Ever!!
 
Back
Top Bottom