KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Nilishaandika mahali watajionea wao wenyewe..Mgombea wao kichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishaandika mahali watajionea wao wenyewe..Mgombea wao kichaa
Kinachotakiwa ni kuidhinishwa tu kama hawavunja sheria yeyote ya uchaguzi .Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa elimu Mama Aswile, vyama ambavyo wadhamini wake walihakikiwa na wasimamizi wa majimbo vimehudumiwa kwa haraka, vile vingine kama CHADEMA ambavyo havikufanya hivyo, uhakiki wake unafanywa kwanza ndani ya tume kabla ya kuthibitishwa.
CHANZO: MAHOJIANO TBC1
Tatizo si kuipa tume wepesi, ukiwa mtoto wa kambo utatafutiwa sababu yoyote na utapewa jina baya tu. Hapa kuna kitu kipo jikoni ni suala la muda tu.Mbowe amewahi kugombea urais, kwanini asingewaongoza wenzie ipasavyo ili kuipa wepesi NEC?!
Soma tena post ya kwanza.
Kama aliwahi kuhakiki majina ya wadhamini na namba zao za kupiga kura majimboni basi zoezi lake linaenda haraka.
Kwa wale manguli ambao hawakuona haja ya kuhakiki wapigakura wao a.k.a. wadhamini huko jimboni basi wawe wapole maana majina yanapitiwa.
Si unajua kuna janja janja katika baadhi ya hao wanapgombea?
Una akili timamu?Mbowe amewahi kugombea urais, kwanini asingewaongoza wenzie ipasavyo ili kuipa wepesi NEC?!
Fujo hawawezi hawana upavu huo!kuna wakati nadhani hawa watu wanafanya makusudi ili badae waseme wameonewa walete fujo
Wewe ndiyo mbumbumbu kilaza na waliokutuma huo ufala mnaofanya unawasaidia nini? ni kwa nini CCM wanaogopa ushindani? Kama CCM mmenunua ndege mmejenga SGR mmeleta maendeleo iweje kuwaogopa chadema hivyo?Tukiwaambia chadema ni mbumbumbu wanakataa!
Haya muiteni amsterdam sasa amusaidie huyo mwansheria wenu asiejua kitu
Upumbavu wa CCM wa kuiogopa chadema kuikwamisha kuogopa ushindani ndiyo utaleta vurugu NchiniFujo hawawezi hawana upavu huo!
Chadema wana tabia moja ambayo ni nadra kuielewa kama unatanguliza mahaba kuwashabikia.Uelewa mdogo wa wanasaccos ndiyo shida. Msaliti Lissu anajifanya anajua sana, sasa alikuwa anahangaika na mikutano tuuu amezidiwa hata na CHAUMA. Halafu huyu anataka aongoze Tanzania??!! Never Ever!!
Ni umbumbumbu na kujifanya wanajua pia wanajua hawawezi shinda uchaguzi sasa wanafanya makusudi ili waonewe hurumaTatizo si kuipa tume wepesi, ukiwa mtoto wa kambo utatafutiwa sababu yoyote na utapewa jina baya tu. Hapa kuna kitu kipo jikoni ni suala la muda tu.
Hivi Nani wa kulaumiwa hapo..?
Hata chama Cha juzi ACT kimewazidi Jana membe alienda kuhakiki lkn chama kikuu pinzani hamkwenda sahivi mnaleta malalamiko yasiyo msingi nawakati nec walitoa siku tatu!.. licha ya hivyo kwenye majimbo pia Kuna uhakiki wa wadhamini..
Mnatafutaga sababu ili muonekane mnaonewa Tena ajabu anaegombea ni mwanasheria ila hazifuati oneni haya.. hata nanyi Mungu anawaona..
Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi lakini wanawaogopa chadema mpaka kuwahujumu kwa kuitumia NECCCMNyumbu fc mnatia aibu
Tatizo jamaa anajifanya mjuaji sana
Kuwa muelewa umeambiwa aliye leta fom siku mbili au moja nyuma zilishakaguliwa nadhani cdm wameenda nazo leoMeko kamaliza dk15 tu pale ofisi za NEC alipowasilisha fomu yake,je tume imetumia muda gan kuhakiki wadhamini wake kama ni wapiga kura kweli?,,
Hebu angalia kwenye TV hata lile bango la tume ya uchaguzi limefunikwa na picha ya Magufuli alafu ulitegemea akae waiting room.Je walimuweka Magufuli waiting room kuhakiki wadhamini wake au hii ni kwa kina Lisu tu? Naiona The Hague kwa watu fulani hapa hivi hawamuulizi Kenyata joto la Hague likoje?
Ila jamaa mtachoka mapema, maana ni mbishi huyo balaaa.Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi lakini wanawaogopa chadema mpaka kuwahujumu kwa kuitumia NECCCM
Kwa mujibu wa mleta taarifa ni kuwa wapo waliowasilisha orodha mapema yawezeka huyo meko akawa miongoni mwaoMeko kamaliza dk15 tu pale ofisi za NEC alipowasilisha fomu yake,je tume imetumia muda gan kuhakiki wadhamini wake kama ni wapiga kura kweli?,,
maana yake ni kwamba wapigiga kura walio mdhamini ni Magumashi... iweje tume iwe na doubt na wapiga kura walio kwenye daftari lao la kudumu? si ni kuangalia tu na kusema kwamba huyu yumo au hayumo... ni haraka sana - kama maji kwa glasiAfisa wa Tume anayehusika na habari na Mawasiliano, punde ametoa ufafanuzi kumtu Kupitia TBC1 kuhusu wagombea waliowaiting room kuwa, kuchelewa kwa baadhi ya wagombea kuingia chumba maalum cha uteuzi/kupokelewa fomu zao kunatokana na zoezi la uhakiki wa fomu zenyewe na uhakiki wa wadhamini. Tume ni lazima ijiridhishe kama waliomdhamini mgombea ni kweli kuwa ni wapiga kura. Na mambo mengine
Kwa wale waliopeleka kabla majina hayo kukaguliwa ktk ngazi ya Jimbo au kupelekea tume kabla, zoezi hili kwao ni la haraka zaidi, ila kama hukuwa umepeleka majina hayo kabla, basi itabidi uwe mpole kidogo kujiridhisha.
Pia ameeleza kuwa, wagombea wote ambao wamefika kituoni hapo kabla ya saa 10 watasikilizwa hadi waishe, isipokuwa kama mtu atafika baada ya saa 10. Kwa hiyo wale walio na wasiwasi kuhusu wagombea wa vyama vyao hasa CHADEMA, bila shaka wote watapata hiyo fursa ya kusikilizwa na Kkwasilosha fomu zao za uteuzi na baadae kuteuliwa kama wamekidhi vigezo vyote kwa kadri ya taratibu walizopewa. Wandugu tuwe na subira.
Tuzidi iombea tume Mungu awajaalie wafanye kazi kwa weledi, kwa kuzingatia maadili, sheria na taratibu, Uwazi na kutenda haki
#maendeleo hayana chama