Uchaguzi 2020 Msemaji Tume: Kila Mgombea aliyefika kwa wakati Kupokelewa Fomu zake

Uchaguzi 2020 Msemaji Tume: Kila Mgombea aliyefika kwa wakati Kupokelewa Fomu zake

Anajitahidi kuanndika kwa kingereza ili beberu wake asikie!
.
Lisu anashida kichwani,. Uzuri kale kataasisi anakokategemea hakuna mtu anahangaika nako mpaka muda huu hakajajibiwa chochote
Wewe ndiyo una Tatizo kichwani unawaitaje wanaume wenzenu mabeberu kwani wewe ni mbuzi jike?
 
maana yake ni kwamba wapigiga kura walio mdhamini ni Magumashi... iweje tume iwe na doubt na wapiga kura walio kwenye daftari lao la kudumu? si ni kuangalia tu na kusema kwamba huyu yumo au hayumo... ni haraka sana - kama maji kwa glasi
NECCCM Tumeccm wanatengeneza visingizio vya kuwakomoa chadema Tumeccm hawafanyi kazi kwa mujibu wa Sheria bali wanafanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mwenyekiti wa CCM
 
Tumeccm sasa haifuati Sheria unafanya kazi kwa maelekezo ya CCM ni Tumeccm ya hovyo kupata kutokea Duniani
 
Wewe ndiyo una Tatizo kichwani unawaitaje wanaume wenzenu mabeberu kwani wewe ni mbuzi jike?
Lisu atafundishwa adabu na watz ikifika oktoba. Huyo beberu wake amsterdam hatamsaidia kitu
 
Hashim Rungwe, Kyara, Shibuda, Lipumba hata wadhamini hawana, lakini wanahakiki wadhamini wa CHADEMA.

Hii inanikumbusha enzi za Mtikila na Lihundi, kuhusu wadhamini kutoka mikoa ya Zanzibar.

Kuna vyama vilipewa usajili DP ikanyimwa.

Nayaona tena leo, Kaijage na Lisu.
 
Najiuliza hivi watu wote walioandikoshwa kama wadhamini taarifa zao zote kweli zinaweza kuwa sahihi? Ni nani alikuwa na jukumu la kuandika majina kwenye fomu ya udhamini?

Je watu waliandika wenyewe? Kama mtu aliandika jina au namba na akakosea Tume ikaona kuwa hiyo namba sio sahihi, inakuwaje?

Au kama amekuja mtu kwenye Kundi akudhamini kumbr ni mamluki wa chama kingine akaandika namba na jina lisiloendana na taarifa zake kwa makusudi je itakuwaje hapo? Najiuliza tu, kwenye mazingira kama haya nini kinatokea.
Usije tenda kosa kwa kutegemea huruma toka kwa adui.
 
pilato akasema nimfanyaje mtu huyu nae hana hatia huku mkinzano wa fikra tokana na maagizo toka juu huu ni mtihani
 
Waafrica bado tunapenda utumwa. Huu ndio ulikuwa muda wa kujiondoa kwenye utumwa. Leo unatimiza jambo ambalo litaigharimu familia yako, raia wenzako sababu umepewa kifuta jasho. Baada ya hapo, unasota tena hadi uchaguzi mwingine.
 
Najiuliza hivi watu wote walioandikoshwa kama wadhamini taarifa zao zote kweli zinaweza kuwa sahihi? Ni nani alikuwa na jukumu la kuandika majina kwenye fomu ya udhamini?

Je watu waliandika wenyewe? Kama mtu aliandika jina au namba na akakosea Tume ikaona kuwa hiyo namba sio sahihi, inakuwaje?

Au kama amekuja mtu kwenye Kundi akudhamini kumbr ni mamluki wa chama kingine akaandika namba na jina lisiloendana na taarifa zake kwa makusudi je itakuwaje hapo? Najiuliza tu, kwenye mazingira kama haya nini kinatokea.
Form Ina majina 230 na yanayotakiwa ni 200 tu so I believe that won't be an issue
 
Tunamtaka Lissu.Lissu ni mtanzania mwenzetu na tunataka tumpigie kura.

Mie na familia yangu kura ni kwa Lissu.Watumishi wote kura ni kwa lissu
 
Masaa 24 ya mashaka kwa wagombea urais 17 watakaoteuliwa na Tume ya Uchaguzi isipokuwa huyu Rais aliyepo madarakani maana sidhani Mkurugenzi wa Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wanaweza kuwakilisha pingamizi dhidi ya aliyewateua.
 
Ni kwa sababu, wewe umekuja mapema lakini majina (kwa mfano) hayaja hakikiwa, ni zoezi linalohitaji muda sana, halafu anakuja mwengine wadhamink wote wamehakikiwa kwa nn asiruhusiwe? Hii ndio inaonekana kuwa sababu kubwa.
Kama una nia njema kwanini wewe NEC usiwaambie wahusika kuwa pamoja na kwamba mmewahi lakini kuna moja mbili hivyo msihangae wanaokuja nyuma yenu wanashughulikiwa mapema, lakini ukaona ni busara ukayaseme hayo TBC?
 
Msaliti ni yule aliyesaliti kakuchukua pesa za viwanda kaenda kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na sasa mnawahujumu chadema kwa visingizio visivyo na mashiko
Wewe mbumbumbu akili yako imejaa minyoo ya nguruwe. Kwani reallocation of fund ikifanyika kwenye bajeti kuna kosa gani? Uwanja wa chato ni kwa manufaa ya umma na hata wewe na minyoo yako utautumia.
 
Back
Top Bottom