Uchaguzi 2020 Msemaji Tume: Kila Mgombea aliyefika kwa wakati Kupokelewa Fomu zake

Uchaguzi 2020 Msemaji Tume: Kila Mgombea aliyefika kwa wakati Kupokelewa Fomu zake

25 Agosti 2020
Dodoma,Tanzania

Mkombozi alivyotinga Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi kurudisha fomu

 
Meko kamaliza dk15 tu pale ofisi za NEC alipowasilisha fomu yake,je tume imetumia muda gan kuhakiki wadhamini wake kama ni wapiga kura kweli?,,
Acha kukurupuka wwe kama unajisaidia nje. Amesema wale waliopeleka majina yao kwenye ngazi ya majimbo au waliyapeleka Tume kabla ya Leo, zoezi la uhakiki wa fomu zao unakua wa haraka zaidi, kwasbb tume ilipata muda wa kutosha kuzipitia, lakini wale waliopeleka leo inabidi wawe wavumulivu. Sasa Mgombea wenu alikua anafanya mikutano ya hadhara wakati wenzake wanawasilisha majina ya wadhamini, halafu mtegemee atoke haraka?
 
Wewe ndiyo mbumbumbu kilaza na waliokutuma huo ufala mnaofanya unawasaidia nini? ni kwa nini CCM wanaogopa ushindani? Kama CCM mmenunua ndege mmejenga SGR mmeleta maendeleo iweje kuwaogopa chadema hivyo?
Chadema hii ya mafisadi wanaogawana ruzuku? Nani ataiogopa?
 
Kitendo Cha Tume ya uchaguzi kuwachelewesha wagombea wa Chadema Ni ushahidi tosha kuwa tume ya taifa ya uchaguzi wana nia ovu.
 
Back
Top Bottom