Msemaji wa familia: MC Pilipili alipata mateso kabla hajafariki

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Msemaji wa familia ya marehemu Emmanuel Mathias maarufu 'MC Pilipili', Paschal Maingu amesema taarifa aliyoipata kutoka kwa ndugu inasema marehemu amefariki kwa mateso na mwili wake umekutwa na majeraha.

"Mdogo wao wa mwisho aliniambia kapata mateso kabla hajafariki ndio maana mpaka sasa hivi hatuna ratiba yoyote kwaajili ya kumuhifadhi ndugu yetu, wakirudi waliokwenda polisi tutajua, ila kwa maelezo ya mdogo wao wa mwisho anasema alichoka" -Paschal Maingu

Soma Dada wa MC Pilipili aweka bayana 'Mwili wa MC ulikutwa na majeraha mgongoni'

Your browser is not able to display this video.
 
Hii hatari sana. Naweza hisi kifo kinahusiana na mahusiano yake yaliyopita. Ex anweza kuwa sababu ya kifo chake kama ni majeraha.

Kama kulikuwa na kikao cha upatanisho basi yawezekana kuna mwamba alijua ex ambaye ni Ke hapindui kwa MC anaenda kumrudia mume wake na yeye Me hakutaka kumpoteza akaamua Mc ndio awapishe. I'm just connecting dots kama kifo ni cha majeraha na mateso
 
Jamaa wanafanya spinning kwa kuua wenzao
 
Tanzania sasa hivi ni kama nchi isiyo na uongozi. Chochote kinawezekana. Sasa hivi polisi anaweza kuua mtu yoyote kwa sababu zozote na ikapita. Ni watu hawajui tu lakini tunahitaji mapinduzi ya haraka mno mno. Tukichelewa itakuja kuwa ngumu sana kurudi kama zamani. Bila kumundoa Samia haraka kabisa nchi itatumbukia kuzimu.
 
Huyo Ex hana uwezo wa kuteka na kuua haraka hivyo, alafu mwili ukapokelewa hospital bila report ya polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…