Msemaji wa familia: MC Pilipili alipata mateso kabla hajafariki

Msemaji wa familia: MC Pilipili alipata mateso kabla hajafariki

Huyo Ex hana uwezo wa kuteka na kuua haraka hivyo, alafu mwili ukapokelewa hospital bila report ya polisi
Soma vizuri nilichoandika na si lazima iwe hivyo ni hisia tu na hakuna sehemu nimeandika X ndio kaua. Lakini pia sikiliza wanafamilia wanachosema. Walishindwa kupanga mazishi kwa kuwa kulikuwa na uchunguzi wa kipolisi unaendelea.

Kwa vyovyote inaonyesha taratibu za kipolisi zilifuatwa. Kumbuka inaonekana kifo kimemkuta Hotel hivyo lazima uongozi ulitoa report polisi kisha kufanyika uchunguzi eneo hilo la tukio. Baada ya hapo mwili hufanyika uchunguzi wa ndani ya mwili/postmortem ili kuona namna alivyouwawa. Uchunguzi huu hufanywa na Daktari husika eneo la hospital Na mara nyingi inafanyika mmoja wa wanafamilia akiwepo pamoja na polisi.
 
Mtu unaishi vipi na aliyekuwa mke wa mtu ukawa na amani ilhali aliyekuwa mwenza wake bado anapumua.!?

Kama mwenza bado yupo mega tembea

Unaweka kambi kwa nyuchi zilizobadishana jasho miaka na miaka lazima uonekane mvamizi
 
Soma vizuri nilichoandika na si lazima iwe hivyo ni hisia tu na hakuna sehemu nimeandika X ndio kaua. Lakini pia sikiliza wanafamilia wanachosema. Walishindwa kupanga mazishi kwa kuwa kulikuwa na uchunguzi wa kipolisi unaendelea.

Kwa vyovyote inaonyesha taratibu za kipolisi zilifuatwa. Kumbuka inaonekana kifo kimemkuta Hotel hivyo lazima uongozi ulitoa report polisi kisha kufanyika uchunguzi eneo hilo la tukio. Baada ya hapo mwili hufanyika uchunguzi wa ndani ya mwili/postmortem ili kuona namna alivyouwawa. Uchunguzi huu hufanywa na Daktari husika eneo la hospital Na mara nyingi inafanyika mmoja wa wanafamilia akiwepo pamoja na polisi.
Nani alikuambia kifo kilimkuta akiwa hotel?
Naamini Leo ulisikia alichosema kaka yake
 
Hii hatari sana. Naweza hisi kifo kinahusiana na mahusiano yake yaliyopita. Ex anweza kuwa sababu ya kifo chake kama ni majeraha.

Kama kulikuwa na kikao cha upatanisho basi yawezekana kuna mwamba alijua ex ambaye ni Ke hapindui kwa MC anaenda kumrudia mume wake na yeye Me hakutaka kumpoteza akaamua Mc ndio awapishe. I'm just connecting dots kama kifo ni cha majeraha na mateso
Nasikia ni jamaa wa TISS alikuwa anakula ule mzigo, alafu MC nae anapambania kombe, so mwamba kaona isiwe tabu
 
Na alikua na ujaizito wa huyo Kipenyo, afu anataka kurudiana na mumewee.
Doooh.
Ulikuwaa mtego ule, wa kwenda kummalizia Dododoma. Bahati mbaya mwamba hakung'amua ajenda ya huo mtego. Ile kikao ndio ilikuwa trick ya kwenda mmalizia kule, sema uovu haufichiki, ime disturb sana moyo wangu hii issue dah
 
Ila yule dada atalipia kwa hiki alichofanya,
Karma is real.
 
Ila yule dada atalipia kwa hiki alichofanya,
Karma is real.
Simlaumu sana mwanamke, hapo mpumbavu ni huyo MTISS anajua kabisa mwanake alikuwa na mwana hata kama wametengana na wana mtoto . Watoto wa kike mnaendeshwa sana na hisia , ila wanaume tunaendeshwa na upendo, hapo fala ni jamaa MTISS kaingilia penzi la mwana kisa ana mamlaka na vyanzo. Imeniuma sana, ndio maana watu wanalogana kwa mambo ya kiwaki kama hayaa. Dogo maskini alikuwa hana baya na mtu, nyota yake imeanza kung'aa upya wame mzimisha dah
 
Nani alikuambia kifo kilimkuta akiwa hotel?
Naamini Leo ulisikia alichosema kaka yake
Habari za mwanzo za wanafamilia zilionyesha alisema anaenda kupumzika na ndipo walisema kifo kilimkuta na hakukuwa na taarifa za kupumzika nyumbani kwao ndio maana nilitumia neno "inaonekana". Lakini hii haiondoi kuwa hospital ndio hupokea mwili kwa ajili ya uchunguzi awamu ya pili baada ya ule wa kwanza kufanyika eneo la tukio. So hakuna utaratibu uliokiukwa
 
Nasikia ni jamaa wa TISS alikuwa anakula ule mzigo, alafu MC nae anapambania kombe, so mwamba kaona isiwe tabu
Kama iko hivyo Mc hana kosa na Mke wake hana kosa kuwa kwenye mahusiano mapya maana walikuwa wametengana. Wangesuluhisha mambo yao lazima wangekubaliana kufukia yaliyotokea wakiwa wametengana
 
Mwisho wa siku hili jambo ni zito sana kwa binti. Itamsumbua muda mrefu. Anahitaji counselling ili kukaa sawa na kupambanan na yanayoendelea mitandaoni
 
Ulikuwaa mtego ule, wa kwenda kummalizia Dododoma. Bahati mbaya mwamba hakung'amua ajenda ya huo mtego. Ile kikao ndio ilikuwa trick ya kwenda mmalizia kule, sema uovu haufichiki, ime disturb sana moyo wangu hii issue dah
Dah pole Sana jamani
 
Dah kijana kiutaniutani ndiyo imeenda hiyo Kisiwa cha amani
 
Back
Top Bottom