Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288

Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi​

Magharibi mwa Ei Rose ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuzilenga kwa makombora zana za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni.

Baada ya hapo, al Qassam ilitangaza kuwa wapiganaji wake wamewaangamiza askari kadhaa wa Israel waliokuwemo ndani ya zana hizo. Baada ya kukamilishwa operesheni hiyo na kuwasili vikosi vya usaidizi vya utawala wa Kizayuni karibu na Ei Rose, yalizuka mapigano makali kati ya vikosi vya wazayuni na Mujahidina wa al Qassam.

1698675054566.png

Mwandishi wa habari wa Russia al-yaum ameripoti kuwa: tukio hilo lilianza kwa operesheni ya vikosi vya al Qassam ya kujipenyeza nyuma ya safu za wanajeshi wa Israel, na vikosi hivyo vya Hamas vikashambulia magari ya kivita ya Israel kwa makombora ya kuteketezea magari ya kivita.
 
Kwa nyenzo zinazopelekwa Israel, nawashauri Hamas wanyooshe mikono juu
 
Tatizo sio nyenzo,tatizo piga nikupige kitaa, Israel haiwezi[emoji1787]
Waarabu wanaweza insurgency tu vita ya piga nikupige dakika kumi ni nyingi watachakazwa vibaya sana.Jiulize kwa nini hawasongi mstari wa mbele kuwakabili wayahudi feki?Wee mtu anaingia kwako umejificha kwenye handaki hutoki kupigana unasubiri raia wawe kinga yako?Acha kudanganywa kwenye vijiwe vya gahawa.Bila kutumia raia kama kinga hakun mwarabu anaweza pambana na mtu yeyote.Rejea Iraq na Afghan
 
Kipi kinachowakwamisha kuingia Gaza?
 
Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi​

Magharibi mwa Ei Rose ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuzilenga kwa makombora zana za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni.

Baada ya hapo, al Qassam ilitangaza kuwa wapiganaji wake wamewaangamiza askari kadhaa wa Israel waliokuwemo ndani ya zana hizo. Baada ya kukamilishwa operesheni hiyo na kuwasili vikosi vya usaidizi vya utawala wa Kizayuni karibu na Ei Rose, yalizuka mapigano makali kati ya vikosi vya wazayuni na Mujahidina wa al Qassam.

View attachment 2798061

Mwandishi wa habari wa Russia al-yaum ameripoti kuwa: tukio hilo lilianza kwa operesheni ya vikosi vya al Qassam ya kujipenyeza nyuma ya safu za wanajeshi wa Israel, na vikosi hivyo vya Hamas vikashambulia magari ya kivita ya Israel kwa makombora ya kuteketezea magari ya kivita.
Leo nimekuta bonge la bango maeneo ya mjini eti wameandaa Run for Palestine kwa lengo la kuwachangia.
Lakini mwisho wa bango wameandika Mungu awasamehe wapalestina badala ya Israel waliemkosea
 
Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi​

Magharibi mwa Ei Rose ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuzilenga kwa makombora zana za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni.

Baada ya hapo, al Qassam ilitangaza kuwa wapiganaji wake wamewaangamiza askari kadhaa wa Israel waliokuwemo ndani ya zana hizo. Baada ya kukamilishwa operesheni hiyo na kuwasili vikosi vya usaidizi vya utawala wa Kizayuni karibu na Ei Rose, yalizuka mapigano makali kati ya vikosi vya wazayuni na Mujahidina wa al Qassam.

View attachment 2798061

Mwandishi wa habari wa Russia al-yaum ameripoti kuwa: tukio hilo lilianza kwa operesheni ya vikosi vya al Qassam yawekkujipenyeza nyuma ya safu za wanajeshi wa Israel, na vikosi hivyo vya Hamas vikashambulia magari ya kivita ya Israel kwa makombora ya kuteketezea magari ya kivita.
weka kavideo basi tuone, ama la, ni porojo tu.
 
Tatizo sio nyenzo,tatizo piga nikupige kitaa, Israel haiwezi[emoji1787]

Israel wanaweza sana. Tuwe honesty majeshi mengi duniani yanapata shida urban warfare.
Haswa pale raia na militants wanapochanganyana , kumchambua yupi ni adui yupi sie ni tatizo

US walipata hii shida mosul, iraq streets.
Urban warfare ni changamoto
 
Back
Top Bottom