Msemaji wa Hezbullah: Waisrael Hamtarudi North, Msahau Kabisa

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
7,681
Reaction score
9,892
Ujumbe ndio huo, msemaji wa Hezbullah anasema Israel hawezi kushinda vita kwa ndege, au kuvunja majumba na kuwauwa watoto au wanawake. Vita huwezi shinda bila ground force, na hicho kitu Israel hana. Anasema watakumbuka ujumbe wa Nasurlah Israel yupo katika ndoto, jeshi lake ni dhaifu kuliko nyumba ya baibui

Anawambia Waisrael wajiandae kuna miji mingi karibuni mtabidi muondoke siku sio nyingi. Hivi kuna dharau kama hio, si bora tu Israel asema nimeshindwa vita nioneni huruma 😄

View: https://youtu.be/56N6uuguVNs?si=IaKMYzXPTlGh6bUN
 
Kuongea kila mtu kaumbiwa, ila usishangae yeye kesho tu tukakutana na breaking news kuwa yuko anabugia ulabu na bikra zake 72 pembeni huko kuzimu.
Kwa hio Gallant na Chief of Staff wao pia waongo, wamesema Shetanyahu anatulazimisha tupigane vita, sio kwamba jeshi la Israel ni dhaifu. Lakini kwa Hezbullah lazima tukiri Israel hatuwezi kumshinda Hezbullah jeshi lake ni superior kama alivyo shindwa Ehud Olmert mwaka 2006, na Nyau atashindwa tu.
 
Hapa lnabidi mtambue kuwa HIzbullah walijiandaa kwa vita kwa muda mrefu kivifaa na kisaikologia wakitarajia chochote kinaweza kutokea aidha kufa au kuishi ! Mayahudi hawakujiandaa kisaikologia na wanakiogopa kifo ! Hivo si ajabu myahudi akaomba poooo ! Tusubiri muda utanena na ukizingatia kuwa Hizbullah yuko tayari kufa hajali lakini kama nilivosema mwanzo myahudi anaogopa kifo balaaa !
 
K
Ujumbe ndio huo, msemaji wa Hezbullah anasema Israel hawezi kushinda vita kwa ndege, au kuvunja majumba na kuwauwa watoto au wanawake. Vita huwezi shinda bila ground force, na hicho kitu Israel hana. Anasema watakumbuka ujumbe wa Nasurlah Israel yupo katika ndoto, jeshi lake ni dhaifu kuliko nyumba ya baibui

Anawambia Waisrael wajiandae kuna miji mingi karibuni mtabidi muondoke siku sio nyingi. Hivi kuna dharau kama hio, si bora tu Israel asema nimeshindwa vita nioneni huruma 😄

View: https://youtu.be/56N6uuguVNs?si=IaKMYzXPTlGh6bUN

Kwani lebanoni wenyewe wanasemaje. Inchi itabaki magofu
 
Nyie semeni wavaa kobazi na mashehe ubwabwa, mtajua hamjui siku si nyingi ! Leo mwaka mzima myahudi anaua wapalestina na kubomoa majumba yao lakini bado hajashinda vita na kila siku askari wake wanauawa ! Mpalestina hana cha kupoteza !! sasa hivi mayahudi wanashinda na kulala kwenye mahandaki na sio katika majumba yao !!
Sasa itaendelea hadi lini ?? Na safari hii mpalestina hakubali hadi myahudi atoke katika ardhi ya wapalestina hata kama ataua wote hivo ndivo walivodhamiria !
Huyo Netanyahu mwenyewe sasa hivi anajfichaficha anaogopa kuuawa au hujaskia ?? Familia yake kaikimbizia Miami, Marekani na amewawekea ulinzi wa kufa mtu anaogopa wasiuawe !
 
Ujumbe ndio huo, msemaji wa Hezbullah anasema Israel hawezi kushinda vita kwa ndege, au kuvunja majumba na kuwauwa watoto au wanawake. Vita huwezi shinda bila ground force, na hicho kitu Israel hana. Anasema watakumbuka ujumbe wa Nasurlah Israel yupo katika ndoto, jeshi lake ni dhaifu kuliko nyumba ya baibui

Anawambia Waisrael wajiandae kuna miji mingi karibuni mtabidi muondoke siku sio nyingi. Hivi kuna dharau kama hio, si bora tu Israel asema nimeshindwa vita nioneni huruma 😄

View: https://youtu.be/56N6uuguVNs?si=IaKMYzXPTlGh6bUN

nani kamdanganya kuwa ISRAEL inashinda vita kwa ndege pekee? huyu msemaji tutamlambisha udongo soon
 
Back
Top Bottom