Msemaji wa Hezbullah: Waisrael Hamtarudi North, Msahau Kabisa

Msemaji wa Hezbullah: Waisrael Hamtarudi North, Msahau Kabisa

Meronites na Sunni wasaidie kuwasafisha Hezbola Lebanon kwa maana wao ndio sababu Lebanon imeingizwa kwenye Vita.
Labda huelewi.

Israel na wamerekani walishaikalia Lebanon yote na wakijikita makwo makuu yao wakayafanya Beiruth.

Ndipo ilipoundwa Hezbollah na kuja kuwabamiza mazayuni na mashoga zao wamerekani wakatoka nduki. Hiyo ni 1982.
 
Anhaa , swali zuri sana hili ! Hizbullah hawana ndege za kivita wala mabomu kama ya wazayuni wanayouziwa na USA ,UK na nchi zingine za Ulaya ! Ingekuwa nao wana ndege nakwambia saa hizi Israel ni magofu tu washakimbilia baharini mazayuni wote.Halafu kama hujui hawa Hizbullah ni mgambo tu lakini waliopata mafunzo ya kijeshi na wako ngangari kweli kweli.Mazayuni wanachofanya ni kuja kwa ndege za vita na kupiga mabomu na kuondoka lakini ile battle ya man to man mazayuni hawawawezi hawa Hizbullah ! Halafu hili si jeshi la serikali ya Lebanon hili ni jeshi la chama cha siasa kinachoitwa hIzbullah lakini kina wabunge wengi sana katika serikali ya Lebanon.Hawa mgambo washapigana sana vita huko mashariki ya kati katika mazingira magumu sana na mazayuni wamejaribu kuingia Lebanon kwa miguu lakini hwa mgambo wa Hizbullah wamewafurusha na wameua askari wengi sana wa mazayuni ni kwa vile vyombo vya habari vya kizayuni na vya magharibi wanaficha tu lakini hali ni mbaya na kwa taarifa yako askari mazayuni hawataki vita wanalazimishwa tu na wanasiasa akina Netanyahu au Bibi kwa jina maarufu.
 
Ujumbe ndio huo, msemaji wa Hezbullah anasema Israel hawezi kushinda vita kwa ndege, au kuvunja majumba na kuwauwa watoto au wanawake. Vita huwezi shinda bila ground force, na hicho kitu Israel hana. Anasema watakumbuka ujumbe wa Nasurlah Israel yupo katika ndoto, jeshi lake ni dhaifu kuliko nyumba ya baibui

Anawambia Waisrael wajiandae kuna miji mingi karibuni mtabidi muondoke siku sio nyingi. Hivi kuna dharau kama hio, si bora tu Israel asema nimeshindwa vita nioneni huruma 😄
Unaanzaje kumuelekeza adui namna ya kukupiga? Israel wakamatie hapo hapo, vita ni vita, havichagui silaha au namna ya uvamizi
 
Israel hawawezi battle ya face to face kwa ground wenyewe wanaweza kurusha makombora kwenye makazi ya watu na hospital Israel ni magaidi wanaoua watoto na wanawake ila hawataweza kuua ideology
 
Anhaa , swali zuri sana hili ! Hizbullah hawana ndege za kivita wala mabomu kama ya wazayuni wanayouziwa na USA ,UK na nchi zingine za Ulaya ! Ingekuwa nao wana ndege nakwambia saa hizi Israel ni magofu tu washakimbilia baharini mazayuni wote.
Wamezuiwa kununua kununua au kupewa na Marekani mabomu na ndege za kivita? Yaani unataka kupigana ila unachagua upigwe vibao tu bila ngumi eti kwa kuwa wewe haujala mchana?
 
Israel hawawezi battle ya face to face kwa ground wenyewe wanaweza kurusha makombora kwenye makazi ya watu na hospital Israel ni magaidi wanaoua watoto na wanawake ila hawataweza kuua ideology
Usiingie vitani kwa kutegemea adui yako atatumia silaha unazopenda wewe, au atachagua umri na jinsia ya kuua. Ukilianzisha au kulitaka, jiandae kulinda raia na mali zako
 
Wamewahamisha Kaskazini ya Israel yote, kibabe tu. Si ndiyo hasira yao wakaja waivamie lebanon na wawamalize Hezbollah.

Wamekikwaa kisiki. Wenyewe wamejiondoa baada ya kichapo na kurudi Kaskazini ndiyo kama walivyoambiwa,
Wamehamisha wangapi mpaka sasa?
 
nani kamdanganya kuwa ISRAEL inashinda vita kwa ndege pekee? huyu msemaji tutamlambisha udongo soon
Aliye kuwa anawapa siri kafungwa jela , afu wapi kasema Israel anashinda vita kwa ndege 😄 Alicho sema ndege hauwezi kushinda vita, ndege ni kuvunja majumba unauwa watoto na wanawake. Ukitaka kuvunja silaha za Hezbullah ni lazima uingize ground force,na hapo Israel hana ubavu huo
 
Sio wewe uliekuja na uzi humu kuwa tayari IDF wameshakimbia Lebanon,
uzi wangu kausome vizuri unasema Israel wanataka kusimamisha vita upande wao kule Lebanon ni channel 12 ya Israel ndio imesema katazame vizuri. Hio habari ni TV channel ndio zimeleta na ukweli ndio huo. Hio kama sio kukimbia ni nini.
 
Back
Top Bottom