Msemaji wa Hezbullah: Waisrael Hamtarudi North, Msahau Kabisa

Msemaji wa Hezbullah: Waisrael Hamtarudi North, Msahau Kabisa

BBC correspondent walikuwepo Iran na walipitia Kila eneo linalosemekana limeshambuliwa.
Picha PEKEE waliyopata ni kiwanda Cha uundaji drones kikiwa kimeungua jengo la juu.
Iran haimzuii mtu habari hata siku moja.
Sio kweli acha uongo wewe. Tuonyeshe hizo picha za bbc
 
Picha za Iran husambaa na wao husema madhara,hawakuficha walisema rada mbili zilipigwa, askari wanne walifariki, israel hata urushe nyuklia,utaambiwa ilitua vichakani na hakuna madhara zaidi ya watu wawili kujeruhiwa na shrapnel,lakini wakati huohuo wanalazimisha watu wajiunge jeshini
Iran kuongea sio kuonyesha picha elewa ninachotaka
 
Picha wanaonesha waandishi wa habari sio serikali ya Iran wala Israel.
Kwamba serikali imeruhusu waandish wa habar waende maeneo ya jesho yaliyotargetiwa ili waripoti? Acha ushabiki maandazi wewe. Unaonyesha ulivyo kilaza
 
Kwamba serikali imeruhusu waandish wa habar waende maeneo ya jesho yaliyotargetiwa ili waripoti? Acha ushabiki maandazi wewe. Unaonyesha ulivyo kilaza
Anayeonesha kilaza ni mimi au wewe!?
Ni eneo lipi la jeshi la Iran lilipigwa!?
Kilichopigwa ni kiwanda Tena Kwa jengo la juu.
Serikali inaweza kuruhusu waandishi wa habari wajihusishe sehemu kama hakuna security threat.
Hao waandishi wa habari huitwa Kambi za jeshi kuonesha silaha sembuse kuipiga picha kiwanda kilicholipuliwa!??
Una mawazo finyu sana hata sikutegemea.
 
Kama hujui kitu si ukae kimya.
 
Back
Top Bottom