Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
- Thread starter
- #161
dogo yule ni Brigadier General kama hujui alibebwa kutoka kwenye camp, we ka unakula papai kwa uji wa uwele.wale waliotolewa vitandani na chupi zao mpaka Leo washikiliwa na baadhi kuawa siyo innocent?
Waisrael wanasema serekali yao inawadangan'ya Hezbullah anatoa dozi nzito sana sidhani kama watarudi tena North.
View: https://youtu.be/MtZAAj60P5E?si=Xc6Nk8unXvJNBsGn