Msemaji wa Hezbullah: Waisrael Hamtarudi North, Msahau Kabisa

Msemaji wa Hezbullah: Waisrael Hamtarudi North, Msahau Kabisa

Mchakato wa kuwapata/kuwakomboa mateka bado unaendelea na HAMAS iko ICU, na mwamba ana-deal perpendicularly na mzee wa maroketi a.k.a Hezbollah.
Hapa wamepunguza idadi ujue wamefyekwa zaidi ya kumi tuliwaonya wazayuni hawakusikia sasa acha waendelee kufa suala la kuikimbia Ghaza nisuala la muda tuuuu ⚡🇵🇸 The IDF announced the deaths of 4 additional soldiers in battles north of the Gaza Strip.

@medmannews
 
Hapa lnabidi mtambue kuwa HIzbullah walijiandaa kwa vita kwa muda mrefu kivifaa na kisaikologia wakitarajia chochote kinaweza kutokea aidha kufa au kuishi ! Mayahudi hawakujiandaa kisaikologia na wanakiogopa kifo ! Hivo si ajabu myahudi akaomba poooo ! Tusubiri muda utanena na ukizingatia kuwa Hizbullah yuko tayari kufa hajali lakini kama nilivosema mwanzo myahudi anaogopa kifo balaaa !
Kweli walijiandaa ndio maana juko wanakufa wanawake na watoto tu.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hezbollah wa Jamiiforums na wale wa Aljazeera, ukiangalia Aljazeera ambako unapata uhalisia wa matukio yanayotokea utaona jinsi watu wabavyopoteza maisha sababu ya hizi vita hasa lebanon na Gaza,

Jamani vita sio vya kushabikia, Yaani umekula ugali wako tembele afu unashabikia mauji ya binadamu wengine, hapana tuwe na huruma kiukweli.
Kuna wanashabikia vita na sisi tunashabikia palestina kupata haki zao pia kuna mauaji ya hizbullah na hamas na kuna mauaji ya raia hayo unayoyaona aljazeera kwa 90 asilimia ni raia kama hamas na hizbullah wangekua wanakufa kwa kiasi unachoona aljazeera kuzingekua na vita muda huu na kusingekua na mateka anaeshikiliwa Ghaza
 
Uyoo kaona alikuwa live kusikia mlio w hatari kajua kalengwa yeye mbiooooo kwenye shimo lake 😃😃 afu wazayuni w mwakareli baada wanakuja na UZI kwann wazayuni wamebalikiwa akili kuliko watu wengine, ivi vichekesho vipo tanzania tu kwa walokole wetu!! Yani Waisrael wanaishi kama fungo chini ya udongo!!!! wawe na akili kuliko mwamba MUAJEMI au IRAN ya leo. anaesimamia show kuwakikisha kila zayuni akitoa pua juu wanarudi chini uko uko watafutane na panya buku,,, Afu MUAJEMI kwake shwariiiiiiiiiiiii
 
Point moja ni ya kitaalamu vita vyovyote bila ground force hushindi hili halina ubishi, sasa Israel wanayo hawana hiyo topic nyingine. Nakumbuka ile vita ya kukomboa Kuwait kutoka kwa Iraq walishusha ground force ya kufa mtu ndio wakaichukuwa Iraq ila wangesema kupigana tu angani nadhani miaka ingepita vita bado. angani unadhoofisha tu ila bila kuichukuwa ardhi bure tu ndio maana hata Somalia ikawa ngumu.
 
Ujumbe ndio huo, msemaji wa Hezbullah anasema Israel hawezi kushinda vita kwa ndege, au kuvunja majumba na kuwauwa watoto au wanawake. Vita huwezi shinda bila ground force, na hicho kitu Israel hana. Anasema watakumbuka ujumbe wa Nasurlah Israel yupo katika ndoto, jeshi lake ni dhaifu kuliko nyumba ya baibui

Anawambia Waisrael wajiandae kuna miji mingi karibuni mtabidi muondoke siku sio nyingi. Hivi kuna dharau kama hio, si bora tu Israel asema nimeshindwa vita nioneni huruma 😄


View: https://youtu.be/56N6uuguVNs?si=IaKMYzXPTlGh6bUN

hajawafahamu bado, hata boss wake Hassan Nasraah alikuwa na kiburi zaidi yake, lakini sasaivi keshaoza.
 
Hapa wamepunguza idadi ujue wamefyekwa zaidi ya kumi tuliwaonya wazayuni hawakusikia sasa acha waendelee kufa suala la kuikimbia Ghaza nisuala la muda tuuuu ⚡🇵🇸 The IDF announced the deaths of 4 additional soldiers in battles north of the Gaza Strip.

@medmannews
Always The reported numbers refer to those "corpses found, identified and counted or gathered " . So the figure may increase at any time depending on the Incoming reports from the field.
 
Ukiwasikiliza Hezbollah wa JF utafikiri Israel kunawaka moto.
 
Ali
Kwa hio Gallant na Chief of Staff wao pia waongo, wamesema Shetanyahu anatulazimisha tupigane vita, sio kwamba jeshi la Israel ni dhaifu. Lakini kwa Hezbullah lazima tukiri Israel hatuwezi kumshinda Hezbullah jeshi lake ni superior kama alivyo shindwa Ehud Olmert mwaka 2006, na Nyau atashindwa tu.
kuambia wewe?
 
Thaad hamna kitu mle
Vipi kuhusu Pagers kuna kitu mle?!
20241110_144158.jpg

images.jpeg
 
Back
Top Bottom