Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Unadhani haelewi basii HeheheEmbu jaribu kusoma kwa kumakinika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani haelewi basii HeheheEmbu jaribu kusoma kwa kumakinika.
Hawakuona lolote lakin walikufa askari wanneHawaruhusu nini kwani picha za satellite zinataka ruhusa ya Iran yaani kufyekwa utawala wa kizayuni mpaka sisi huku tuliona ila huko Iran ndio hata picha za mbali mbali hakuna kwanza raia wa Iran wenyewe hawakuona lolote propaganda zimefika mwisho hizi zama za uwazi yaani
Askari sababu za vifo vyao zimejulikana yaani ndege mia zinaua askari wanneHawakuona lolote lakin walikufa askari wanne
Unajua maana ya balestic 200 mkuu. Ndio maana wenzio wanatumia ndege kupunguza gharama.Askari sababu za vifo vyao zimejulikana yaani ndege mia zinaua askari wanne
Gharama za nini sijasema gharama nimesema madhara ndege mia ziripue kambi 20 kama walivyosema ziue watu wanne au wameziripua kwa maweUnajua maana ya balestic 200 mkuu. Ndio maana wenzio wanatumia ndege kupunguza gharama.
balestic ziliua mpalestina mmoja akiwa nyumban kwakeGharama za nini sijasema gharama nimesema madhara ndege mia ziripue kambi 20 kama walivyosema ziue watu wanne au wameziripua kwa mawe
Ila zilipiga kambi ikiwemo ya Nevatim na video tuliona ila wazayuni wameshindwa kutuletea picha hata ya AIbalestic ziliua mpalestina mmoja akiwa nyumban kwake
Maafa ya ballistic za Iran ziliharibuka baadhi ya Kambi za Israel ikiwemo Nevatim.balestic ziliua mpalestina mmoja akiwa nyumban kwake
Tunaomba pichaMaafa ya ballistic za Iran ziliharibuka baadhi ya Kambi za Israel ikiwemo Nevatim.
Ziliharibu makazi yapatao 100,inamaana kama raia wasingekimbilia katika mahandaki maisha ya watu zaidi ya 200 yangekua rehani.
Ndege 100😂😂😂😂madhara yake hayaonekani kuwa significant na yameua askari wanne tu.
Wacha nikuletee ushahidi toka BBC correspondent kabisa.Tunaomba picha
Huyu ni BBC correspondent alikua ndani ya Israel na aliona na alihoji wahusika na akapatiwa hayo majibu.Tunaomba picha
Nimeulizia picha mkuu sio maelezo. Au hujui hata bbc walitoa maelezo na picha za satellite kule IranHuyu ni BBC correspondent alikua ndani ya Israel na aliona na alihoji wahusika na akapatiwa hayo majibu.
View attachment 3152695View attachment 3152696View attachment 3152697
Uliona maelezo waliyotoa BBC kuhusu shambulio la Israel!?Nimeulizia picha mkuu sio maelezo. Au hujui hata bbc walitoa maelezo na picha za satellite kule Iran
Picha nenda uko uko TZ kwenye kambi ya jesh kapige utuletee utajua wajuba watakufanya nini yani unajua kabisa kambi ya jesh aipigwi picha afu unadai picha ya kambi. Kwann ww vile viuma vikitua ukuona hiii miijamaa itakuwa mizwazwa kupitiliza.Nimeulizia picha mkuu sio maelezo. Au hujui hata bbc walitoa maelezo na picha za satellite kule Iran
Israel hakuna anayeruhusiwa kupiga picha na kutoa taarifa hizo,uchujaji wa taarifa hufanywa na jeshi na hutolewa na jeshi,ukifanya wewe ni kesi na utaenda jelaNimeulizia picha mkuu sio maelezo. Au hujui hata bbc walitoa maelezo na picha za satellite kule Iran
Kwani Iran nani anaruhusiwa mkuuIsrael hakuna anayeruhusiwa kupiga picha na kutoa taarifa hizo,uchujaji wa taarifa hufanywa na jeshi na hutolewa na jeshi,ukifanya wewe ni kesi na utaenda jela
Sasa si ni yale yalePicha nenda uko uko TZ kwenye kambi ya jesh kapige utuletee utajua wajuba watakufanya nini yani unajua kabisa kambi ya jesh aipigwi picha afu unadai picha ya kambi. Kwann ww vile viuma vikitua ukuona hiii miijamaa itakuwa mizwazwa kupitiliza.
Picha za Iran husambaa na wao husema madhara,hawakuficha walisema rada mbili zilipigwa, askari wanne walifariki, israel hata urushe nyuklia,utaambiwa ilitua vichakani na hakuna madhara zaidi ya watu wawili kujeruhiwa na shrapnel,lakini wakati huohuo wanalazimisha watu wajiunge jeshiniKwani Iran nani anaruhusiwa mkuu
BBC correspondent walikuwepo Iran na walipitia Kila eneo linalosemekana limeshambuliwa.Kwani Iran nani anaruhusiwa mkuu