Msemaji wa Hezbullah: Waisrael Hamtarudi North, Msahau Kabisa

Msemaji wa Hezbullah: Waisrael Hamtarudi North, Msahau Kabisa

uzi wangu kausome vizuri unasema Israel wanataka kusimamisha vita upande wao kule Lebanon ni channel 12 ya Israel ndio imesema katazame vizuri. Hio habari ni TV channel ndio zimeleta na ukweli ndio huo. Hio kama sio kukimbia ni nini.
Israeli ipo kama kinukta tu hapo mashariki ya kati ila inavyowasumbua wavaa kobazi ni hatari.
 
Ujumbe ndio huo, msemaji wa Hezbullah anasema Israel hawezi kushinda vita kwa ndege, au kuvunja majumba na kuwauwa watoto au wanawake. Vita huwezi shinda bila ground force, na hicho kitu Israel hana. Anasema watakumbuka ujumbe wa Nasurlah Israel yupo katika ndoto, jeshi lake ni dhaifu kuliko nyumba ya baibui

Anawambia Waisrael wajiandae kuna miji mingi karibuni mtabidi muondoke siku sio nyingi. Hivi kuna dharau kama hio, si bora tu Israel asema nimeshindwa vita nioneni huruma 😄


View: https://youtu.be/56N6uuguVNs?si=IaKMYzXPTlGh6bUN

Ni vizur kujifurahisha. Kama Iran alivyosema Israel ikirusha hata kijiko tutawaangamiza. Bush lawyer hawa
 
Israeli ipo kama kinukta tu hapo mashariki ya kati ila inavyowasumbua wavaa kobazi ni hatari.
Unazungumzia taifa ambalo USA,UK,France,Germany na mataifa mengine ya uzunguni yanawasaidia!?
Taifa ambalo akitaka kupigwa USA na washirika wake wanakimbilia kumtetea na kutishia vikwazo kwa taifa hasimu!?
Hiyo Misri tu inahongwa kila mwaka ili ikae kando na uhasimu dhidi ya Israel.
Israel taifa dhaifu siku majamaa zake wazungu na USA wakimgwaya kazi anayo.
 
Wameua askari zaidi ya 100+ wa Israel.
Wameharibu kambi ya Galilee yote.
Wamewafanya raia zaidi ya laki kukimbia makazi yao huko Kaskazini mwa Israel hususan Galilee.
Wao wamepoteza askari wangapi? Na raia wangapi wa lebanon wamepata madhara?
 
Update: 4pm 11 November 2024 🇿🇦

South Lebanon

Today is martyrs day in Lebanon. The first time commemorated without the great martyr Sayed Hassan Nasrallah.

Hezbollah today confirm: "After 45 days of bloody battles, with 5 military divisions, 2 brigades, and 65,000 soldiers, the enemy has still not been able to capture a single Lebanese village"

Hezbollah attacks today concentrated on striking Zionist troop gatherings with suicide drones and military bases as far as Haifa with rockets.

Gaza

The m

Zionist IDF

Another major blow to the Israeli security apparatus with Major General Eyal Zamir , Director General of the Ministry of Defense resigning.

The cracks in the IDF begin to appear day by day. They seem united but their hearts are divided.

The victory of Gaza and South Lebanon is certain.

Al Muqawamah Al Islamiyah 🇿🇦
 
Kwamba idf usaf na NATO wote wamechemka ama sasa ule uteule wa six day waa umekufilia wapi
Israel akiamua All out War atafika hadi Boder ya Turkey kwa Kaskazini na Kusini atafika hadi Mecca.
 
Ndipo ilipoundwa Hezbollah na kuja kuwabamiza mazayuni na mashoga zao wamerekani wakatoka nduki. Hiyo ni 1982.
20241110_144158.jpg

Nasrallah baada Pager kumlipukia akawa mahututi wakaitwa Mashehe kwenda kumfanyia kisomo wakajazana kama wote zikatumwa Bunker Busters tisa 9 yaani kenda hakutoka Ayatula hata mmoja 😆😆
 
Netapaka bwege sana kafanya waIsrael Dunian kuchukiwa zaid kwa kuuwa vitoto ambavo azina usaidizi wwte wala avikuwa vinaweza saidia Hamas vitoto vidogo wamama sasa uko Ulaya yote wanachukuiwa kias uwepo wao seem inalazimu Polisi wawepo wazungu wamewakamia jamaaa zao. Yote Netanyahu chuki zake kwa wapalestine kias achagui uyu mtoto uyu mama upo ufaransa kuna tamasha imejulikana Netanyahu alikuwa afike viama kazaa vyakutetea haki za Binadamu vimepinga kuja Netanyahu mpaka sasa aijulikani kama ataenda au laah wazungu wanamuona Netanyahu kama Gaid au paka kweli awamtaki kabisa. Wkt wananchi wake walio Ulaya ndio ivyo inabidi wasitambulikane kama ni zayuni au watambulike lkn pembeni wawepo Polisi!! Aya uko Israel nako wanalala kwenye maandaki pamoja na Netanyahu mwenyewe !! Yote raaana kuuuwa vitoto kwa umat na avina dhambi. JE Israel atachomoka kwenye mdomo w hezbullah tujipe mwezi yajayo yanapendeza kilio kitasikika tuwe tayali kuwapokea wakimbizi!!!
 
Aliye kuwa anawapa siri kafungwa jela , afu wapi kasema Israel anashinda vita kwa ndege 😄 Alicho sema ndege hauwezi kushinda vita, ndege ni kuvunja majumba unauwa watoto na wanawake. Ukitaka kuvunja silaha za Hezbullah ni lazima uingize ground force,na hapo Israel hana ubavu huo
Facts Kuna video moja niliona tg wanamgambo wa idf wanatukana na kushangaa tu kwamba sehemu waliokua wameisafisha na wakiamini haina tena silaha za hizbullah imerusha makombora mengi zaidi kuwahi kurushwa tokea waanze kupigana wazayuni Lazima waende chini na mbaya zaidi wanaogopa kufa wavaa pampers
 
Back
Top Bottom