Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Ambacho sikutarajia nikufikia mpaka muda huu waisrael kutokurudi North, au wewe ulitarajia?.Ulitaraji hata kama Hali ni tofauti, atoe kauli tofauti na hiyo?
Ataanza na bikra Maria.Baada ya mwezi anawahishwa kula bikra za imagination afu mnakuja na points zingine π
Kwa hio Gallant na Chief of Staff wao pia waongo, wamesema Shetanyahu anatulazimisha tupigane vita, sio kwamba jeshi la Israel ni dhaifu. Lakini kwa Hezbullah lazima tukiri Israel hatuwezi kumshinda Hezbullah jeshi lake ni superior kama alivyo shindwa Ehud Olmert mwaka 2006, na Nyau atashindwa tu.Kuongea kila mtu kaumbiwa, ila usishangae yeye kesho tu tukakutana na breaking news kuwa yuko anabugia ulabu na bikra zake 72 pembeni huko kuzimu.
Kwani lebanoni wenyewe wanasemaje. Inchi itabaki magofuUjumbe ndio huo, msemaji wa Hezbullah anasema Israel hawezi kushinda vita kwa ndege, au kuvunja majumba na kuwauwa watoto au wanawake. Vita huwezi shinda bila ground force, na hicho kitu Israel hana. Anasema watakumbuka ujumbe wa Nasurlah Israel yupo katika ndoto, jeshi lake ni dhaifu kuliko nyumba ya baibui
Anawambia Waisrael wajiandae kuna miji mingi karibuni mtabidi muondoke siku sio nyingi. Hivi kuna dharau kama hio, si bora tu Israel asema nimeshindwa vita nioneni huruma π
View: https://youtu.be/56N6uuguVNs?si=IaKMYzXPTlGh6bUN
Uislam unazuia kuwauwa innocent people, wanaogopa kubeba dhambi za hao unless kuwa hakuna budi. Hezbullah akitaka kuchakaza hayo majumba ya Tel Aviv atashindwa unadhani, wamefika mpaa chumbani kwa Sarah hahahaha π πMbona wao Hezbullah hawavunji majumba ya Israel? Wamezuiwa?
Akimalizana nae atamfata bikra mamayo π₯Ataanza na bikra Maria.
nani kamdanganya kuwa ISRAEL inashinda vita kwa ndege pekee? huyu msemaji tutamlambisha udongo soonUjumbe ndio huo, msemaji wa Hezbullah anasema Israel hawezi kushinda vita kwa ndege, au kuvunja majumba na kuwauwa watoto au wanawake. Vita huwezi shinda bila ground force, na hicho kitu Israel hana. Anasema watakumbuka ujumbe wa Nasurlah Israel yupo katika ndoto, jeshi lake ni dhaifu kuliko nyumba ya baibui
Anawambia Waisrael wajiandae kuna miji mingi karibuni mtabidi muondoke siku sio nyingi. Hivi kuna dharau kama hio, si bora tu Israel asema nimeshindwa vita nioneni huruma π
View: https://youtu.be/56N6uuguVNs?si=IaKMYzXPTlGh6bUN
Ee mkuu atamfata bikra mamayo. Na umuongezee na bikra babayo pia sio mbaya.Akimalizana nae atamfata bikra mamyoπ₯