Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
- Thread starter
-
- #201
Afu pia inawezekana hata askari mmoja hajafaa ni njia ya Iran kutafuta sababu ya kuwachapa hao mashoga tena π€£Askari sababu za vifo vyao zimejulikana yaani ndege mia zinaua askari wanne
Naunga mkono hoja yaani wale lgbtq wangeua kweli hata inzi wa Iran ungemuona tuAfu pia inawezekana hata askari mmoja hajafaa ni njia ya Iran kutafuta sababu ya kuwachapa hao mashoga tena π€£
Sio kweli acha uongo wewe. Tuonyeshe hizo picha za bbcBBC correspondent walikuwepo Iran na walipitia Kila eneo linalosemekana limeshambuliwa.
Picha PEKEE waliyopata ni kiwanda Cha uundaji drones kikiwa kimeungua jengo la juu.
Iran haimzuii mtu habari hata siku moja.
Iran kuongea sio kuonyesha picha elewa ninachotakaPicha za Iran husambaa na wao husema madhara,hawakuficha walisema rada mbili zilipigwa, askari wanne walifariki, israel hata urushe nyuklia,utaambiwa ilitua vichakani na hakuna madhara zaidi ya watu wawili kujeruhiwa na shrapnel,lakini wakati huohuo wanalazimisha watu wajiunge jeshini
πππππAisee broo unanichekesha sana.Sio kweli acha uongo wewe. Tuonyeshe hizo picha za bbc
Picha wanaonesha waandishi wa habari sio serikali ya Iran wala Israel.Iran kuongea sio kuonyesha picha elewa ninachotaka
Kwamba serikali imeruhusu waandish wa habar waende maeneo ya jesho yaliyotargetiwa ili waripoti? Acha ushabiki maandazi wewe. Unaonyesha ulivyo kilazaPicha wanaonesha waandishi wa habari sio serikali ya Iran wala Israel.
Msitari nilioandika 'picha' umeachana nao umeenda kurukia ulipoona panakufaa,una ushahidi waandishi wakizuiwa kuchukua picha Iran?Iran kuongea sio kuonyesha picha elewa ninachotaka
Anayeonesha kilaza ni mimi au wewe!?Kwamba serikali imeruhusu waandish wa habar waende maeneo ya jesho yaliyotargetiwa ili waripoti? Acha ushabiki maandazi wewe. Unaonyesha ulivyo kilaza
Hata uhuru wa waandishi wa habari na mipaka yao hajaui.Msitari nilioandika 'picha' umeachana nao umeenda kurukia ulipoona panakufaa,una ushahidi waandishi wakizuiwa kuchukua picha Iran?
Kama hujui kitu si ukae kimya.Anayeonesha kilaza ni mimi au wewe!?
Ni eneo lipi la jeshi la Iran lilipigwa!?
Kilichopigwa ni kiwanda Tena Kwa jengo la juu.
Serikali inaweza kuruhusu waandishi wa habari wajihusishe sehemu kama hakuna security threat.
Hao waandishi wa habari huitwa Kambi za jeshi kuonesha silaha sembuse kuipiga picha kiwanda kilicholipuliwa!??
Una mawazo finyu sana hata sikutegemea.
Kuna muda jaribu kukubali kuwa mjinga ili usitumbukie kwenye ujuha.Kama hujui kitu si ukae kimya.
Labda dada yakoTayari kawahishwa kwa mabikira
Keshaliwa kichwa na idf Hawa jamaa hawana kazi ndogoHe was talking too much πππ