Msemaji wa IDF Daniel Hagari akiwa hospitali ya Al Shifa kashindwa kuthibitisha mahandaki ya Hamas

Weka huo uzi mmechanganyikiwa na ushabiki mandazi wenu.
Onyesheni Jeshi la Hamasi liliopo Al shifaa hospital au telecommunications centre, hayo mahandaki.
Kula hizo tende, halua na urojo kwa nidhamu.
 
JUST IN: BIDEN SAYS HAMAS HAS COMMAND CENTER UNDER AL SHIFA HOSPITAL

Reporter: "What kind of evidence the US has seen that Hamas has a command center under Al Shifa hospital?"


Biden: "I can't tell you, I won't tell you"

Reporter: "Do you feel confident based on what you know?"😂😂😂

Biden: "YES, yes..."
 

Attachments

  • twidown.mp4
    661.5 KB
Bro Hamas wana mamia kama sio maelfu ya video kila wakishambulia wanaweka na video kuonesha wanatoka Chini ya Ardhi kwenye Tunnels, so far Hio ya kujificha Na raia ni Excuse ya IDF kuua ila Haina ushahidi wowote wa maana,
 
Winning what Exactly, you just need to use 0.0001% ya Akili yako kusoma kuona Kilichoanzisha vita NI Hamas kuchukua Mateka na so Far IDF wanaua watu wasio husika na wameokoa Jumla ya Mateka 0. Kama Lengo la IDF ni kuokoa Mateka na mpaka sasa wamepata Mateka 0 unapata wapi Guts za kusema Wameshinda? Unless Unakubaliana na wapenda Haki Duniani kwamba lengo la IDF ni kuua Raia tu wa Palestina hawana shida na Hamas kwa watoto Na wanawake tu wamewaua wengi ila So Far They Failed kupambana na Hamas.

Na IDF walienda kuvamia AL Shifa toka tarehe 11/12 kama hakukua na Mapigano why wameingia Hospitali jana? Unless useme vifaru vyao vipo slow sana kutumia siku 4 nzima kucover kaeneo kadogo

Na Jamaa Zenu wanawatesa kweli, Video zote za Uongo walizoeka jana wamezitoa kwenye vyombo vyao vya habari baada kugundulika ni feki, haya anzeni upya kutengeneza video nyengine Maana mlizozileta sasa hivi hazitumiki tena.
 
Kwani wanajeshi wa HAMAS sasa hivi wako wapi?
Mi nadhani mahandaki yapo ila wameshindwa kuyaona
 
IDF DELETED THEIR POST WHERE THEY CLAIMED THEY HAD “COMPELLING EVIDENCE” OF “HAMAS HQ” AT AL-SHIFA HOSPITAL

NO HQ
NO Tunnels
No Hostages

They are becoming a laughing stock.

Does this propaganda actually work on anyone?
 

Attachments

  • IMG_6266.jpeg
    63.6 KB · Views: 1
Kwani wanajeshi wa HAMAS sasa hivi wako wapi?
Mi nadhani mahandaki yapo ila wameshindwa kuyaona
Hamas wapo kwenye Mahandaki, tatizo sio hilo.

Tatizo ni vita toka imeanza wanasema Mahandaki ya Hamas yamefichwa Hospitali, Shule, Kambi za wakimbizi, Nyumba za Raia etc. Na Israel Kaua watu zaidi ya 10,000 wengi watoto Na wanawake kwa Kisingizio hicho.

Sasa ukweli wote unatoka hakuna Hayo mahandaki huko Hospitali ndio wanakuja na propaganda, na wameanza kusafisha Kwa kudelete habari za zamani Kwamba Walisema hivyo.


View: https://twitter.com/ShaykhSulaiman/status/1724923270246404584
 
Kwani wanajeshi wa HAMAS sasa hivi wako wapi?
Mi nadhani mahandaki yapo ila wameshindwa kuyaona
IDF wamefika mpaka AL-SHIFA HOSPITAL
wameshindwa kuyaona wewe upo Rombo unasema unadhani yapo wasaidie kuwaonyesha.
 
Wanaopigana ni Hamas na Israel, lkn mnao bishana watanzania mnaoburuzwa buruzwa tu ,wenzenu wanapinga kuburuzwa nyie mkifika kujadili matatizo yenu mnatengana huyu ccm yule cdm, wkt wote mnaNJAA na SHIDA tele ,ila kwa UNAFIKI WENU mnajiona WAMOJA
 
Uzuri tunawachapa
A Palestinian comedian mocks the Hamas leader for hiding in tunnels under the Shifa hospital.

Does that mean everyone in Gaza knew of the tunnels under the Shifa hospital for over a decade?

"Abu Ubaidah is under the Shifa Hospital. We Know!"

Comedian name: Imad al-Frajeen😂
 
Bro Hamas wana mamia kama sio maelfu ya video kila wakishambulia wanaweka na video kuonesha wanatoka Chini ya Ardhi kwenye Tunnels, so far Hio ya kujificha Na raia ni Excuse ya IDF kuua ila Haina ushahidi wowote wa maana,
Hizo video huwa wanaonyesha wanapoibuka kwenye tunnels na kushambulia hawaonyeshi baada ya shambulio kama wanarudi tena kwenye mashimo ama laah hii Ina maana wakishashambulia basi wote wanaangamizwa yaani kushambulia IDF ni sawa na kujitoa muhanga.
 
Wanaopigana ni Hamas na Israel, lkn mnao bishana watanzania mnaoburuzwa buruzwa tu ,wenzenu wanapinga kuburuzwa nyie mkifika kujadili matatizo yenu mnatengana huyu ccm yule cdm, wkt wote mnaNJAA na SHIDA tele ,ila kwa UNAFIKI WENU mnajiona WAMOJA
Umekosea njia hapa ni International Forum malalamiko yako peleka Jukwaa la Siasa .
 
Jeshi la Kizayuni linaendelea na majaribio yake ya kuwapumbaza watu

DVD zinatumika kunakili picha za CT na MRI!!

Viatu vilivyokamatwa na jaketi za kujikinga ni safi kuliko viatu vya askari wa jeshi la adui!!

Jeshi la Kizayuni lilisafirisha katoni zenye silaha zenye maandishi “Medical Supplies” na baadaye kuziweka ndani ya vyumba vya CT scan na kuzitoa silaha walizodai kuwa ni za Hamas!! Kwa kujua kwamba "Waisraeli" wanazungumza Kiebrania, na Wapalestina wanazungumza Kiarabu, kwa nini maandishi haya yameandikwa kwa Kiingereza na ujumbe huu unaelekezwa kwa nani?!

Camera iliyopo ni ya ufuatiliaji wa idara ya MRI, kwani ni moja ya vitengo muhimu vya matibabu katika hospitali, na ni kamera iliyopo hospitalini. Nini cha ajabu hapo?!

Baada ya kufichuliwa kama ulaghai, kama waigizaji , IDF ilifuta video kwenye tovuti rasmi.
 

Attachments

  • IMG_6269.jpeg
    33.4 KB · Views: 1
  • IMG_6271.jpeg
    43.7 KB · Views: 1
  • IMG_6270.jpeg
    22.5 KB · Views: 1
Umekosea njia hapa ni International Forum malalamiko yako peleka Jukwaa la Siasa .
Bado Waafrica tunashida zetu hao ,wajinga waache nao wakutane na shida, Okoa mwafrika mwenzako acha utumwa ,Mkuu
 
Haya tu assume unachoongea ni sahihi, wanatoka wanapiga IDF wanauliwa.

Je ndio human Shield Hio?
 
Israel safisha gaza yote, chunguzeni na kwingine mnakohisi kuna mahandaki asibaki gaidi hata mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…