Msemaji wa JWTZ kuteuliwa kwenye NEC ya CCM, hii imekaaje?

Msemaji wa JWTZ kuteuliwa kwenye NEC ya CCM, hii imekaaje?

Ni sehemu ya wanajeshi wa CHADEMA mnawaita makamanda.Mtu aweza kuwa kamanda bila kuwa mwanajeshi?.Cheki wanajeshi wa CHADEMA yaani makamanda wakiwa wametinga miwani yao ya kuchomea vyuma

Mbeya3.jpg
HA HA HAAAAAAAAAAAAAA
 
Tutapiga kelele sana tatizo ni katiba na watawala kutoheshimu katiba ndiyo uzao mbaya wa umimi unazaliwa mwenye maamuzi ya mwisho ni mteuaji achaneni nayo chama kilishakufa wacha apate hao waadilifu wachache asukume siku ziishe
 
aliyefanya uteuzi alizingatia mambo yote kabla ya kufanya hivyo.
 
Siku unayoteuliwa unaacha jeshi huwi mwanajeshi na unashika madaraka siku hiyo hiyo kama ambavyo lowasa alivyofanya.Siku alipoteuliwa na CHADEMA kuwa mgombea siku hiyo hiyo aliacha CCM na kuwa mgombea uraisi
Hili limetajwa wapi katika katiba ya jamuhuri ya Tanzania???
 
>>> HAKUNA ASIE KUWA NA CHAMA hata bill gates ana chama chake republican ila anawahudumia Democras >>>
 
Kwani Lowasa alianza lini kuwa mwachama wa CDM?



Eti nawe ni miongoni mwa wapigakura waliouweka uongozi huu madarakani!Sishangai kwa nini viongozi tulionao wapo hivi walivyo,ni matokeo ya kuchaguliwa na watu wasiojitambua,naihurumia sana Tanganyika yangu.
 
Back
Top Bottom