Msemaji wa klabu kubwa nchini Ahmed Ally nae atoa ya moyoni

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Nimelia sana baada ya kuhadithiwa namna TOTO alivyonyanyasika UTOPOLONI

1. Bonus wanapewa timu nzima baadae inatoka bonus ya wageni watupu[emoji24]

2. Aliwahi kuomba gari akaambiwa nyie na gari wapi na wapi labda tukupe Vespa Used

3. Aliwahi kuomba nguo mpya aende kwenye tuzo za ligi kuu wakampa koti la aliyekua Makamu Mwenyekiti na wakampa miwani ya Jua wakati hafla ilikua ni usiku.

Funga kazi sasaaaa TOTO alichoka maisha ya boarding unaambiwa kule Kimbiji kuna zamu ya kuokota hadi kuni

Imeniuma sanaaaaa

Pole sana TOTO iyo hela waliyoirudisha kwenye account yako wataifuata wenyewe ngoja sikukuuu ziishe

Kwa mkoti huu hata mimi ningehamaView attachment 2456889
 
Halafu mkiitwa mbumbumbu, mnakasirika!
 
Halafu mkiitwa mbumbumbu, mnakasirika!
Kwani imekuuma wewe
images%20(66).jpg
 
Halafu mkiitwa mbumbumbu, mnakasirika!
Ila ukifatilia kiundani utaona hilo jina la mbumbumbu lipo Simba kimakosa.

Imagine Club ambayo ilijipanga kuandanama kwenda kwa Mama kulalamikia waamuzi pamoja na TFF

Imagine sakata la Feisal kuna mashabiki wametengeneza mgomo baridi wa kususia products za Azam

Imagine mmemtimua Saido kwa madai ya nidhamu mbovu halafu at the same time mkaenda kumsajili Morisson

Imagine hayo yote ya kweli niliyokuambia halafu ukayapinga kwasababu tu ya ushabiki, huoni kwamba kwa kufanya hivyo ni zaidi ya umbumbumbu?
 
Nimelia sana baada ya kuhadithiwa namna TOTO alivyonyanyasika UTOPOLONI

1. Bonus wanapewa timu nzima baadae inatoka bonus ya wageni watupu[emoji24]

2. Aliwahi kuomba gari akaambiwa nyie na gari wapi na wapi labda tukupe Vespa Used

3. Aliwahi kuomba nguo mpya aende kwenye tuzo za ligi kuu wakampa koti la aliyekua Makamu Mwenyekiti na wakampa miwani ya Jua wakati hafla ilikua ni usiku.

Funga kazi sasaaaa TOTO alichoka maisha ya boarding unaambiwa kule Kimbiji kuna zamu ya kuokota hadi kuni

Imeniuma sanaaaaa

Pole sana TOTO iyo hela waliyoirudisha kwenye account yako wataifuata wenyewe ngoja sikukuuu ziishe

Kwa mkoti huu hata mimi ningehamaView attachment 2456889
Hatimae mmepata kombe lenu
 
mpirani kuna mambo!, tangu nianze kufuatilia mpira wa bongo nimekuwa napata raha sana kwa wingi wa vitimbi. Yaani kila siku mapya hayaishi...yaani kama watoto wadogo wanacheza wanagombana wanalia wananyamaza, wanashitakiana wanapatana wanaanza tena upya. Furaha na vitimbwi vinajaa sana mda mwingi nakuwa natabasamu na kufurahi kiufupi wananiongezea faraja maishani...natamani mpira uchezwe kila siku na matukio mengine yaendelee tuone utoto wa watu wazima unavyotawala kila kona ya nchi 😛 😛 😀
 
Back
Top Bottom