Msemaji wa KMC Mwanadada mbona hubwatuki kwa mbwembwe kama kawaida kwa mechi yenu na Yanga SC leo?

Msemaji wa KMC Mwanadada mbona hubwatuki kwa mbwembwe kama kawaida kwa mechi yenu na Yanga SC leo?

Makolo mmeshindwa kumfunga yanga hao kmc

Makolo mmeshindwa kumfunga yanga hao kmc ndo wataweza kweli? Mbona uwa mnajitoa sana ufahamu nyie watu? Izo bahasha yanga kazitembeza kwenye mechi 43 ikiwemo simba kwaiyo waache na kmc wafaidi izo bahasha msubili na nyie za kwenu awamu nyingine tutoleeni njaa zenu
Yanga tushamfunga mala nyingi tu au hukuwahi shuhudia Fraga akifungua goli Miquissone akipachika la Nne mwaka juzi tu.
Au ulikuwa hujazaliwa. Na pale Kigoma hali ilikuwaje.
 
Mkuu GENTAMYCINE mbona unaangaika sana na Mambo ya YANGA??Umeanzisha News mbili ndani ya saa 1 nikushauri tu bro ungekaa ukatulia TU. Simba wanaangaika SANA na Mambo ya Yanga kuliko hata SISI Yanga wenyewe.
lazima awahangaikie kwa sababu yanga hamnaga akili, nyie ni utopolo
 
Ndio maana wakifika kimataifa wanasindikiza wenzao tu
 
Back
Top Bottom