Msemaji wa KMC Mwanadada mbona hubwatuki kwa mbwembwe kama kawaida kwa mechi yenu na Yanga SC leo?

Yanga tushamfunga mala nyingi tu au hukuwahi shuhudia Fraga akifungua goli Miquissone akipachika la Nne mwaka juzi tu.
Au ulikuwa hujazaliwa. Na pale Kigoma hali ilikuwaje.
 
Mkuu GENTAMYCINE mbona unaangaika sana na Mambo ya YANGA??Umeanzisha News mbili ndani ya saa 1 nikushauri tu bro ungekaa ukatulia TU. Simba wanaangaika SANA na Mambo ya Yanga kuliko hata SISI Yanga wenyewe.
lazima awahangaikie kwa sababu yanga hamnaga akili, nyie ni utopolo
 
Hili tayari ni bwatuko tosha, hatuhitaji zaidi.
 
Ndio maana wakifika kimataifa wanasindikiza wenzao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…