GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Hii ni mara ya Pili M23 tunabaguliwa na hatushirikishwi katika Mazungumzo ya kutafuta Amani ya Kwetu Congo DR kama haya ya Leo Nairobi Kenya hivyo nasi tutaendelea Kuwapambania Wakongo kwa Kupambana na Utawala wa Rais Tshisekedi ambao ni wa Kibaguzi hasa kwa Wakongo tutokao Mashariki" Wille Ngoma Msemaji wa Kundi la Waasi wa M23.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
GENTAMYCINE naungana nao M23 kwa huu Uamuzi wao kwani ni Upumbavu na Chuki kufanya Mkutano wa Amani ya Congo DR huku wenye Madai yao Waasi wa M23 wakibaguliwa na kutoshirikishwa ili Kusikilizwa na Kumalizana nao.