Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Kiki za kisiasa.

Mh.Magufuli amewashika pabaya.

Kuishiwa hoja hakuwezi kukiacha chama fulani salama.

Nitasimama imara na Rais wangu na nitamchagua tena 2020.

Mungu mbariki JPM,Mungu ibariki Tanzania.
 
Ni maajabu sana. Wakati msemaji wa serikali amekiri kuwa ndege imeshikiliwa na wanaotudai, Msukuma yeye anatoka usingizini na kudai kuwa bado iko kwenye matengenezo!! Tumuamini nani sasa???


Kuna tatizo hapa....Wanaongea hata wasiostahili wakidhani kwamba wanatengeneza kumbe wanaharibu.......
 
Ngoja tundu lissu awapige misumari ya nyundo. Mtakoma kufanya mambo kienyeji.
Hivi nyie mnapokuwa mnamshika shika ovyo ovyo, mnategemea hata mimi ningekuwa mzalendo?
huyo mwanasheria wenu feki hawezi kushindana na serikali,serikali can do anything ikiamua. nyie endeleeni kumvimbisha mashavu yale.
 
They are no different from Tundu Lisu!
They fill their stomachs , same as those promised 10% for siding with the enemy!
Illusions!
Tundu Lissu is a Hero of this generation! If speaking the truth is a sin, we need to sin, exposing to the Tanzanians about the danger we are facing can never be good to the wicked leaders! Patriotism is never "making stupid decisions while infringing the Laws"! It is never refusing to pay a legitimate claim while knowing it will cost You! So, you guys are the ENEMY OF THIS NATION! TRANSPARENCY IS WHAT IS NEEDEN BY THE BOSSES (CITIZENS) OF THIS WONDERFUL NATION! LET US CALL A SPADE SPADE INSTEAD OF A BIG SPOON!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VITA YA UCHUMI BAINA YA TANZANIA NA CANADA IMEKOLEA, UKITAKA KUSHINDA VITA PIGANA VITA!!

Mtu mmoja mwenye akili aliwahi kusema kuwa, "Ukitaka kushinda Vita, shika Bunduki pigana Vita". Kwamba huwezi kuishinda Vita ukiwa kitandani umelala fofofo!! Huwezi, huwezi kamwe!!

Vita ya Kiuchumi baina ya Tanzania na Canada sasa imekolea. Ni wazi kuwa sasa Canada na Tanzania zipo ktk mtifuano mkubwa wa Kiuchumi na bahati mbaya sana siku za usoni tunaweza kuingia ktk mgogoro wa Kidiplomasia ikiwa hazikutumika akili sawasawa kote Tanzania na Canada. Lkn hii ni Vita, ikiwa tunataka kuishinda ni lazima tushike Bunduki tupigane Vita!!

Nimepata nafasi ya kuwasikiliza Watu wachache muhimu ktk Nchi hii wakizungumzia swala la Ndege yetu kushikiliwa huko Canada. Wote wanaosema jambo hili hawalisemi sawasawa, ama hawajui ama wanakosea kwa bahati mbaya (Thinking capacity kukwama) au wanakosea kwa maksudi kwa sababu za Kidiplomasia! Sababu hii ya Kidiplomasia inaweza kuwa na maana kuliko zingine zote.

Watu hawa wote wanasema kuwa Ndege yetu Bombadier Q400 imeshikiliwa Canada kwa sababu ya Deni la US Dollah 38.7 ambalo Serikali inadaiwa na Kampuni ya Stelling Civil Eng. LTD ya huko Canada lililotokana na Kampuni hiyo kunyang'anywa Kandarasi na kutimuliwa Nchini. Hizi ni fikra mbovu zaidi kuwahi kutokea ktk Vichwa vya watu wakubwa, ni aibu, ni fedheha mtu kama Zitto Kabwe kuwaza namna hii.

Hebu tufikiri pamoja:-

●Hukumu ya kushikilia Mali zote za Serikali ya Tanzania ktk Nchi hususani ya Canada ilitolewa Dec-2009/June 2010. NB, hakuna Mali yoyote kwa kipindi chote hiko iliowahi kushikiliwa kwa amri hiyo ya Mahakama hadi juzi.

●Mwaka 2016 mwanzoni Tanzania imefanya order ya kutengenezewa Ndege na Kampuni ya Bombadier Q400 ya Nchini Canada na September Ndege mbili zikakamilika na kurejea Nchini. Kumbuka amri ya Mahakama ilikwisha tolewa tayari iko kazini lkn Ndege hizo hazikushikiliwa.

●March 2017 Serikali ya Tanzania ikazuia Makontena 262 ya Mchanga wa dhahabu almaarufu Makinikia yanayomilikiwa na Kampuni ya Accacia (Barrick) ya Nchini Canada.

●May na June 2017, Serikali ya Tanzania ikatafakari kupitia riport za Uchunguzi wa shughuli za Madini Nchini juu ya uhalali wa uwekezaji, ulipaji Kodi na Mirahabaya Madini inayofanywa na Kampuni za Barrick na kuona dosari za kisheria na hujuma mbalimbali za Kiuchumi. July zikapitishwa Sheria kudhibiti Biashara ya madini.

● July 2017, Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA ikaifikishia Accacia-Barrick ya Canada notice ya kuidai Tsh. Trion 425 kutokana na malimbikizo ya Kodi.

●July Serikali ya Canada kupitia Kampuni ya Stelling Civil Eng. Ltd ikaishikilia Ndege ya Serikali ya Tanzania kutokana na amri ya Mahakama iliyotolewa Dec 2009/ June 2010.

MY TAKE:
Ni mjinga pekee ndie anaweza kukubaliana kuwa Ndege yetu imeshikiliwa Canada kutokana na Deni ambalo Serikali inadaiwa na Stelling Eng. Civil Ltd. Wakati Serikali ya Canada inashirikiana na Kampuni zake kutetea maslahi ya Nchi yao, Wananchi wa Tanzania wanapingana na Serikali yao kutetea maslahi ya Nchi yao. Ulazwe Pema Peponi Mwl. Nyerere, tumebaki tunasoma ktk Vitabu kuwa watu waliopinga Serikali ktk mambo ya kitaifa wakati wako walibakishiwa option mbili tu.
 
Elimu(knowledge) hupatina darasani.
Ujuzi wa kweli (expirience) hupatina kwa kutenda.
Mwanadamu ili akamilike natakiwa kuwa na Akili, hekima na Busara.
Msukuma hajasoma sana lakini akawa ni bora kuwatawala watu kuliko Lissu kwa sababu ya kuwa na hekima na busara kumzidi Lissu.
Lissu amesoma sana na ana akili ya kutosa kumzidi Msukuma lakini kwa swala la busara na hekima ni zero.
Yote aliyoandika Msukuma ni ya hekima na busara na tuyatekeleze.
 
Watumishi wa Mungu sijui mnafatilia haya,,,? Hofu yangu mnakua rohoni sana hata maarifa mnapungukiwa,,humjui nihoja ipi ya kupeleka mbele za Mungu,,,sasa huu nimwongozo kwenu,,,,mwombeeni huyu mzalendo Tundu Anthipas Lissu kwakua ni msema kweli na msema kwelii ni mpenzi wa Mungu.Huyu anahitaji ulinzi wa kimungu kabisa kwasababu vita yake siyo ndogo.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Illusions!
Tundu Lissu is a Hero of this generation! If speaking the truth is a sin, we need to sin, exposing to the Tanzanians about the danger we are facing can never be good to the wicked leaders! Patriotism is never "making stupid decisions while infringing the Laws"! It is never refusing to pay a legitimate claim while knowing it will cost You! So, you guys are the ENEMY OF THIS NATION! TRANSPARENCY IS WHAT IS NEEDEN BY THE BOSSES (CITIZENS) OF THIS WONDERFUL NATION! LET US CALL A SPADE SPADE INSTEAD OF A BIG SPOON!

Sent using Jamii Forums mobile app
When your mother goes naked for whatever reason, and you rejoice and sing all the way to the public, getting yourself lynched is in order!!!
 
Natabiri baada ya mika miwili migodi yetu itakuwa chini ya wachina maana naona lengo lao linaenda kutimia na ninaona watafanikiwa kwa staili hii
 
Mmalize tu utawala wenu muende hamna jipya kazi kulia lia tu sijui uzalendoooo....hongereni kwa kunywa maji ya bendera aisee
 
Back
Top Bottom