CattleRustler
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 1,055
- 468
Taratibu tu watanzania watamwelewa lisu
Huu upuuzi waambieni watoto wenu. Hamtaki kumwambia ukweli mfalme wenu yuko uchi. Mv Kigamboni ni Lisu, Nyumba za Serikali ni Lissu, Samaki wa wachina ni Lisu, Barabara kupunguzwa upana ni Lisu. Kama ni kweli huyu Lissu anyongwe tu.Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
Hopeless!Kuna majitu mapuuzi kweli yanataka huyu bwana aongezewe muda wa kutawala, kwa mwenendo huu mpaka miaka 5 iishe tutakuwa na hali gani?
Anashindwa kuiongoza familia yake, mnategemea ataweza kuliongoza taifa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyoandika kaa mtu yupo kwenye mwezi mchanga..!Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
Tuna subiri kupimwa mkojo
Hakuna aliyemlaumu Lissu. Basi tu "machadema maongo"! Hahahahaaa!Kwani nani kamlaumu Lissu?
Sema tu mchakato umeingiliwa na watawala wanao tumia nguvu nyingi kuliko upeo....
Kwanini Rais Magufuli akikosea kunakuwa na kigugumizi cha yeye kuambiwa ukweli?..
Historia inamuelezea wazi Kuwa alinunua Boti chakavu..
Amesababisha hasara kwenye Samaki wa wachina baada ya kukamata ki dicteta Meli yao...
Hivyo hivyo kwa hili yeye sio mgeni kulisababishia hasara taifa.....
Hakuna cha visingizio kwa hili Lazima awajibike kwa watanzania na kuwaambia amewakosea kwa kukurupuka.
duh mwanasheria ambaye kesi haimhusu anawezaje kwenda kuweka pingamizi mahakamani kuzuia mali ya mdaiwa??..
Tunadaiwa au hatudaiwi?..
Hii 2017, watanzania wa sasa sio wa 1970 jaribuni kutolea vitu ufafanuzi vieleweke na sio blah blah.