Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Huko nje wapi kamanda? ha ha ha ama huko ndani, ama wewe ni diaspora wa kule ndani kwako ni nje?
Haaaahhhaa Just Haaaahhhaa
HUKU ndani kutamu
Haaaahhhaa
Wananchi lipeni Kodi Tena nasema lipeni usiku na mchana

Chief Economist
 
Haaaahhhaa Just Haaaahhhaa
HUKU ndani kutamu
Haaaahhhaa
Wananchi lipeni Kodi Tena nasema lipeni usiku na mchana

Chief Economist

Ha ha ha JUST ha ha ha ha kishavuta chake sasa si na ha ha ha ha tu. Acha wengine tubanwe kodi haijalishi uko ndani ama nje. Just ha ha ha haijalishi unafurahia na ma traitors
 
Nilishasema kuwa vichwa vinavyotumika kubeba nywele ni ngumu sana kumuelewa Lissu.

Huwa nawaambia, huyu bwana siyo kwamba anapinga hatua za kujinasua kutoka kwa wezi wa raslimali zetu bali anachokipinga ni mchakato unaotumika.

Alishasema kuwa lazima kujitoa kwanza kwenye hii mikataba na nchi mbalimbali, watu hawakumuelewa!! Matokeo yake ndo haya!!!
 
Kuna watu hawaonekani wakiongelea masuala muhimu kama haya ya Bombardier yetu kuzuiwa Canada..
Wao ni kuandika tu mambo ya ajabu ajabu na mengine ya kufikirika... " Serikali ya Viwanda Kukamilika kabla ya 2020".
cc mitale na midimu
 
Wewe ndiyo maana maana mfumuko wa bei utaenda juu na utalipa kodi zaidi hata ukifanya biashara hela itapungua. endelea kufurahia na hao traitor wenzako. Unafikiri hapo unaimaliza serikali, ulichoenda kusomea huko shuleni ndo hicho?
Mkuu acha ujinga inabidi huyo kiongozi Wa kisiasa aliyevunja mkataba kienyeji bw mapadloks ndiye achukuliwe hatua kwa kuisababishia serikali hasara kwa kuvunja mkataba Wa Ujenzi Wa barabara .
Acheni kutetea upuudhi jamani kama mnalipwa kwa kupost threads za kipumbavu Mungu anawaona.
Hili suala lipo wazi kabisa wakulaumiwa ni aliyelisababisha ambaye ni bw JPM
 
You are right kuna sheria nchi zote duniani isiyoandikwa inasema heri mtu mmoja aangamie kuliko taifa liangamie. Serikali iache ulege lege if killing kill them.kill them mengine mbele kwa mbele.

Kwaiyo kwenye ukoo wenu ni heri mmoja angamie kuliko ukoouangamie

Tatizo uwezo wenu wakufikiria imefika mwisho
 
Mkuu acha ujinga inabidi huyo kiongozi Wa kisiasa aliyevunja mkataba kienyeji bw mapadloks ndiye achukuliwe hatua kwa kuisababishia serikali hasara kwa kuvunja mkataba Wa Ujenzi Wa barabara .
Acheni kutetea upuudhi jamani kama mnalipwa kwa kupost threads za kipumbavu Mungu anawaona.
Hili suala lipo wazi kabisa wakulaumiwa ni aliyelisababisha ambaye ni bw JPM

Wewe ndo huyo uliyemtaja, wewe huwezi jua mtu analipwa kama wewe hulipwi. Bottom line, ufurahie usifurahie wewe ndo utalipa hilo deni, mwenzako kishavuta mrungula.
 
Ha ha ha JUST ha ha ha ha kishavuta chake sasa si na ha ha ha ha tu. Acha wengine tubanwe kodi haijalishi uko ndani ama nje. Just ha ha ha haijalishi unafurahia na ma traitors
Haaaahhhaa
Si wanadharau Wataalam acha waabike
Haaaahhhaa

*Mi napambana na hali yangu*
Sitaki maneno
Haaaahhhaa

Chief Economist
 
utetezi wa kijinga kwa makosa yenu wenyewe
maana yake sasa wanamuwinda Lissu
 
Back
Top Bottom