mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
Sasa kama bombadia imekamatwa mkuu na wahusika wanashughulika na hilo suala unataka watu waongee nini.Kuna watu hawaonekani wakiongelea masuala muhimu kama haya ya Bombardier yetu kuzuiwa Canada..
Wao ni kuandika tu mambo ya ajabu ajabu na mengine ya kufikirika... " Serikali ya Viwanda Kukamilika kabla ya 2020".
cc mitale na midimu
Pili Kukamatwa kwa bombadia Kuna uhusiano gani na kuwezekqna kwa tanzania ya viwanda.