Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,375
John Yohana wa Yahudi
Anakucheka wewe lofa unaekumbatia mabwana wa Lumumba
Mjinga mkubwa wewe! Ndugu zako vijijini wanakufa kwa kunywa maji wanayochangia na mifugo, wanafunzi wanakosa mikopo vyuoni na wanapewa masharti ya ajabu ajabu, hospitali hazina madawa, vitanda hakuna halafu unasimama kutetea ujinga. Mnachekelea kuona nchi inaingizwa katika hasara ya kulipishwa mabiilioni ambayo yangesaidia huduma za kijamii. Mnafanya siri halafu mtu anayeeleza ukweli mnampiga mkwara wa kumuua? Hayo makombo unayodondoshewa ndio yanakutoa akili kiasi hiki?Mtu ayaseme atakavyo lakini msemaji wa mkoloni karl Peters wa leo dawa yake kuuawa. Ukumbuke kuwa ukoloni ilikuwa mikataba ya kisheria. Walikutana Berlin ujerumani wakagawana afrika kisheria kuitengua ilihitaji wanasheria lakini wapigania uhuru wakasema To hell with Your international colonization laws hatuitambui na hatusikilizi ushauri WA Lisu kibaraka mtetea wakoloni kuwa tatizo ni mikataba aliyosaini kiongozi wenu chifu mangungo karl Peters yuko Right!!!!!! Nyerere angechukua ushauri WA wakili bwe. GE. Kama lisu hadi leo nchi ingekuwa haijapata uhuru. Kwenye madini tuwe tuliibiwa legally or whatever tunataka chetu. We are at war. Yeyote anayesimama na Carl Peters serikali Kill him
Anashindwa kuiongoza familia yake, mnategemea ataweza kuliongoza taifa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani angetajwa tu huyo mtu kulikoni kuwa na habari za kufikirika maana tuna shida ya kupeana updates yaani serikali ni bora ingekaa kimya kulikoni kuja kujibu hoja baada ya Lissu kuibuka....(mambo mengine huwa yanaibuliwa kwa kuwa wenye dhamana ya uongozi kutokupenda kutoa updates maana ndege ilitangazwa na imekuwa ikitangazwa kwa mbwembwe kwenye majukwaa ya kisiasa itawasili kama muda uliopangwa alafu baadae haijaonekana hivyo kilichotakiwa ni kutoa updates angalau kwa zile kauli zetu za "kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu............."Hoja yangu nikuwa kuna mtu ame initiate hiyo kutoka ndani.
Mzungu ikiisha miaka 2 huwa ana write off deni linakuwa bad debt na hawa report tena kwenye vitabu vyake na anaacha nalo. Hoja ni kuwa akili na roho iliyotumika hapa ni mwafrika kutoka Tanzania amewashawishi hawa wazungu ili wafanye hivyo. Harafu anacheka Ha ha ha JUST ha ha ha
umepata like yangu.Yani umeandika yote ambaye mwenye uelewa angemuhoji msemaji wa serikali.Hao wanasiasa ndio walinyang'anya tender kinyemela?!
Hao wasioitakia mema nchi hii ndio mahakama iliyotoa huo uamuzi?
Mahakama iliyotoa huo uamuzi haitambuliki katika mkataba tuliosaini wenyewe na mkandarasi/mdeni wetu tukiwa na akili timamu?
Nani amesema mkilipa deni la watu hiyo ndege haiji?
Mbona mnataka kutufanya nchi nzima mabashite?
Alafu mbona mliukuwa mnafanya siri?!
Nyinyi mlioamu kufanya siri kwa walipa kodi na alieamua kuwaeleza ukweli walipa kodi,ni nani mzalendo?
Anaetuambia kila siku msema kweli ni mpezni wa Mungu ni nani kama sio boss wake?
Pathetic!!
..Ndo maana anaogopa kuitumia...Nimefurahi sana,hata ndege ya rais ikienda huko waikamate
Weka picha ya washangiliaji, mim ninavojua ukiumbuliwa lazima upanic,Hii nchi vyama vya upinzani vimegeuka kuwa Vikaragosi vya wasioitakia mema Tanzania. Chochote kinachokuwa kibaya dhidi serikali wao ndio wa kwanza kushangilia. Hivi kweli unaweza kuita press conference na kuanza kushangilia kuwa ndege imekamatwa kwa deni. Leo serikali inapochukua hatua ya kuwabana wawekezaji kwa upinzani ni kero, serikali inapopambana na mafisadi na madawa kulevya haohao wapinzani ndio mstari wa mbele kwenda mahakamani kuwatetea. Serikali ya awamu ya tano ina mapungufu yake lakini inapokuja National Interest tunatakiwa kuiunga mkono.
Iko cku tutakuwa wamoja izo n changamoto President Magufuli usichoke kuvumilia izo changamotoSerikali dhalimu ndivyo ilivyo badala ya kumkoromea fisadi na dikteta uchwara aliyetuingiza kwenye huu mkenge wa kudaiwa $38.7 million wanatafuta mwingine wa kumbebesha lawama. Dikteta uchwara ni janga kubwa kwa Taifa huyu hafai kabisa kuiongoza nchi yetu huyu fisadi na mkurupukaji.
Nadhani angetajwa tu huyo mtu kulikoni kuwa na habari za kufikirika maana tuna shida ya kupeana updates yaani serikali ni bora ingekaa kimya kulikoni kuja kujibu hoja baada ya Lissu kuibuka....(mambo mengine huwa yanaibuliwa kwa kuwa wenye dhamana ya uongozi kutokupenda kutoa updates maana ndege ilitangazwa na imekuwa ikitangazwa kwa mbwembwe kwenye majukwaa ya kisiasa itawasili kama muda uliopangwa alafu baadae haijaonekana hivyo kilichotakiwa ni kutoa updates angalau kwa zile kauli zetu za "kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu............."
Sijui ni kwanini kumekuwepo na ongezeko kubwa la ujinga awamu hii!LISSU NI MJINGA MKUBWA HIVI ANACHOFURAHIA NI NINI ? LENGO ZIMA NI MAENDELEO NA KUJIKWAA SI KUANGUKA , NA KAMA IKIJA NDEGE ATAJINYONGA MAANA ANASUMBULIWA NA WIVU MTUPU.PENYE NIA PANA NJIA LISSU KAMA SHETANI ASHINDWE KWA JINA LA YESU AMEN !
Hopeless! Mbeba mabox kwenye ubora wake!!Serikali dhalimu ndivyo ilivyo badala ya kumkoromea fisadi na dikteta uchwara aliyetuingiza kwenye huu mkenge wa kudaiwa $38.7 million wanatafuta mwingine wa kumbebesha lawama. Dikteta uchwara ni janga kubwa kwa Taifa huyu hafai kabisa kuiongoza nchi yetu huyu fisadi na mkurupukaji.
Huyo mpuuzi YEHODAYA hajui kuwa mali zetu zimekamatwa na tumekubali kulipa,tena na fidia juu!!!!Mjinga mkubwa wewe! Ndugu zako vijijini wanakufa kwa kunywa maji wanayochangia na mifugo, wanafunzi wanakosa mikopo vyuoni na wanapewa masharti ya ajabu ajabu, hospitali hazina madawa, vitanda hakuna halafu unasimama kutetea ujinga. Mnachekelea kuona nchi inaingizwa katika hasara ya kulipishwa mabiilioni ambayo yangesaidia huduma za kijamii. Mnafanya siri halafu mtu anayeeleza ukweli mnampiga mkwara wa kumuua? Hayo makombo unayodondoshewa ndio yanakutoa akili kiasi hiki?