NAFIKIRI WANASEMWA JK TEAM aka BENARD M...Coz aliwahiView attachment 570274
Lissu katika mtandao wake wa twita ameonekana kuyacheka majibu ya serikali juu ya "kupotea" kwa Bombadia.
Serikali imetoa majibu yasiyoridhisha na ya kujikanganya kuhusu kashikiliwa kwa ndege yake nchini Canada. Serikali imelaumu wanasiasa kuingilia mchakato huku ikiogopa kuwataja wanasiasa hao
Nini maoni yako
Serikali ya Mtukufu inamlaumu Lissu kwa kufichua Siri..Kwani nani kamlaumu Lissu?
Mimi wasiwasi wangu hiyo ni mwanzo tu,kama wameshaona wanaweza kushika ndege hiyo,
hawa makampuni mengine yanaweza kufuata utaratibu huo na dreamliner yetu ikanaswa huko majuu
Iko cku tutakuwa wamoja izo n changamoto President Magufuli usichoke kuvumilia izo changamoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Usilete vitisho vyako hapa, unamtisha nani sasa na hao ma-mosads wako, kwani wanaoihujumu nchi ni nani? Si ni hao hao viongozi waliopo madarakani wanapokwenda kusign mikataba mibovu na kufanya mambo kwa papara na kukurupuka kwa kutafuta kick za kijinga na mwisho wake ndo mambo kama haya yanatokea...? Sasa mambo yakiharibika watu wasiseme na wananchi wasifahamishwe hayo madudu yanavofanywa serikalini? Poor you.Wakuu How do you feel unapoiona Bendera yenye Rangi Nzuri ikishindwa kwa Kuhujumiwa.unafaidika nini Tanzania Ikishindwa?
View attachment 570234
Huwa sishangai Vitendo kama Hivi Ndo Husababisha Mi6, Israel Mosads, CIA, kupoteza Watu.
....Serikali ingeonyesha ushirikiano AIBU hii isingetufika. Pia tungeweza kuepuka RIBA tunayotozwa kila mwaka.
..Huu ni UZEMBE wa hali juu.
wicked ni yule ambaye anaumizwa mwenyewe na anafurahia hayo maumivu kwa shangwe.
Ujumbe keshajipa mwenyewe huyoKuna jamaa wa lumumba hiyo slogan ndi signature yake,nadhani atakuwa ameibadili!