Vupu
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,769
- 1,252
Yaani makosa wafanye wao lawama ziende upinzani ..
Mambo ya ajabu kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya ajabu kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu sidhani kaolewa maana mbona anatumia jina la baba yake.waovyio huyu anaga majibu ya maana kabisaHuu ni ujinga tena ni aibu kwa taifa, kama tunadaiwa tulipe deni na sio kutafuta visingizio vya kijinga namna hii.
Yani mmama mzima haoni aibu? Mme wake lazima na yeye atakua na tatizo la akili.
Hata kama mtu unampenda vipi kama anakasoro utazificha kwa muda tu!Kuna jamaa mmoja nilimkuta kazini wakati naanza kazi.
Muhuni muhuni hivi. Aliniambia "siku zote kazi ikikushinda lazima uwe na story ya kutoa ili kuwa na exit strategy".
Bahati nzuri ushauri wake sikuuhitaji. Maana kazi haikunishinda.Ila nilijifunza watu wanavyofanya kazi.
Sasa hapa kilichotokea mpaka hiyo habari ya wanasiasa kuchomekwa ni kama vile serikali kazi imewashinda, wanatafuta kuchomeka story ya ku distract watu. Ku save face kama si exactly exit strategy.
Hapo kwa watu tunaojua kuangalia vitu vinavyo matter na kutoa ujinga wa distraction tunaona hivi.
Serikali inadaiwa deni. Haijalipa. Ndege inekamatwa mpaka serikali ilipe deni.
Hiyo ndiyo habari ya msingi.
Hizo longolongo za wanasiasa ni distraction.
Serikali ingekuwa haidaiwi deni huyo mwanasiasa angeanzia wapi kujipenyeza katika sakata hili? Angetunga deni la uongo na kuliweka kwenye akaunti za serikali?
Sent from my Kimulimuli
Wakuu How do you feel unapoiona Bendera yenye Rangi Nzuri ikishindwa kwa Kuhujumiwa.unafaidika nini Tanzania Ikishindwa?
View attachment 570234
Huwa sishangai Vitendo kama Hivi Ndo Husababisha Mi6, Israel Mosads, CIA, kupoteza Watu.
Sema tu mchakato umeingiliwa na watawala wanao tumia nguvu nyingi kuliko upeo....
Kwanini Rais Magufuli akikosea kunakuwa na kigugumizi cha yeye kuambiwa ukweli?..
Historia inamuelezea wazi Kuwa alinunua Boti chakavu..
Amesababisha hasara kwenye Samaki wa wachina baada ya kukamata ki dicteta Meli yao...
Hivyo hivyo kwa hili yeye sio mgeni kulisababishia hasara taifa.....
Hakuna cha visingizio kwa hili Lazima awajibike kwa watanzania na kuwaambia amewakosea kwa kukurupuka.
Atakayeshindwa ni ********. If he wins,"We" win. If he lose "He" lose. No way outHaya ndio tumekuwa tukiyasema kila siku....Hawa wapinzani wa nchi hii wakae wakijua hawamkomoi MAGUFULI bali wanatukomoa sisi WATANZANIA
Kudaiwa kweli kupo lakini je ni deni la namna gani? deni hili limetokana na uzembe ndio maana likataka kufanywa siri.Hata kama mtu unampenda vipi kama anakasoro utazificha kwa muda tu!
Hakuna serikali duniani isiyodaiwa! Na sidhani kama serikali ingekubali ndege yake itaifishwe kwa deni hilo
Hoja ya Msingi hapa ni pale Tundu Lisu anapoonekana mbele ya kamera kila kunapokuwa na swala linalohusiana na Canada na mara zote yuko upande wao!
Maswala ya madeni yana namna yake ya kushughulikiwa! Sina hakika kama siku zote hiyo kampuni inayotudai ilisubiri tuagize ndege ndio waanze kutudai!
Naamini kuna namna walivyokubaliana kuwa endapo tutashindwa kulipa nini kifanyike! Kwa hiyo wenye kupenyeza penyeza hoja za ushawishi wa wanasiasa kwa jambo hili wana weza kufanikiwa kublind baadhi ya wananchi hata kama sio kweli!
Kulikuwa na haja gani ya Tundu Lisu kuja haraka kiasi hicho mbele ya kamera kueleza alichokieleza!?
Je, ni kweli serikali ilikuwa haina mpango wowote wa kufuatilia hiyo ndege hadi lilipoibuliwa na Lisu !? Kwamba asingelianzisha ndege tungeikosa!?
Na kama mpango ulikuwepo, mbona hakuueleza!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Any decision you make in life you are responsible for ifHii nchi vyama vya upinzani vimegeuka kuwa Vikaragosi vya wasioitakia mema Tanzania. Chochote kinachokuwa kibaya dhidi serikali wao ndio wa kwanza kushangilia. Hivi kweli unaweza kuita press conference na kuanza kushangilia kuwa ndege imekamatwa kwa deni. Leo serikali inapochukua hatua ya kuwabana wawekezaji kwa upinzani ni kero, serikali inapopambana na mafisadi na madawa kulevya haohao wapinzani ndio mstari wa mbele kwenda mahakamani kuwatetea. Serikali ya awamu ya tano ina mapungufu yake lakini inapokuja National Interest tunatakiwa kuiunga mkono.
Liwe la uzembe liwe la halali, ni kweli serikali ilikuwa haina mpango wowote wa kufuatilia hiyo ndege iliyokamatwa!?Kudaiwa kweli kupo lakini je ni deni la namna gani? deni hili limetokana na uzembe ndio maana likataka kufanywa siri.
Sent using Jamii Forums mobile app