Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Haaaahhhaa
Si wanadharau Wataalam acha waabike
Haaaahhhaa

*Mi napambana na hali yangu*
Sitaki maneno
Haaaahhhaa

Chief Economist

Utapambana je na hali yako wakati hiyo pesa ambayo haiko kwenye mipango ikilipwa itasababisha inflation ambayo itayo m cost kila mtu, uwemo na hata kama haumo. ha ha ha JUST ha ha ha
 
mh tutalipa tu ili ndege zije hatuna namna ,na zikija tutawadanganya watanzania kuwa zilichelewa maana tulizipeleka kbadili rangi kwanza , yaani yule twiga alikuwa ameonekana kama twiga wa braziri sasa tuka ipeleka ili twiga arekebishwe
 
Jana nilimsikia wakili na mbunge Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kusema ana taarifa kutoka kwenye vyanzo vyake serikali vilivyomwambia kuwa ndege ya serikali aina ya Bombadier imekamatwa na kutishia kupigwa mnada!.

Kauli ya Lissu iliibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii,katika pita pita zangu mtandani nikakuta "Conversation" kati ya Zitto Kabwe na Waziri mwenye dhamana Prof Mbarawa,kwenye maelezo yake Prof alisema si kweli kuwa ndege imekamatwa na hakuna mgogoro bali kuna mambo madogo madogo yanakamilishwa kati ya serikali ya kampuni ndiyo maana ndege imechelewa na kuja na itakuja siku si nyingi.

Asubuhi ya leo,idara ya maelezo ambayo ndiyo mdomo wa serikali imezungumza na waandishi wa habari kupitia naibu Mkurugenzi wake mkuu Zamaradi Kawawa na kujibu kuwa ni kweli kuna kesi ya msingi iliyosababisha ndege hiyo kuzuiwa huku akiwatuhumu baadhi ya wanasiasa kuwa wapo nyuma ya kesi hiyo.

Zamaradi amedai kesi hiyo imesababishwa na baadhi ya wanasiasa ila ameshindwa kuwataja majina na kusema tayari serikali imechukua hatua za kisheria na kidiplomasia kumaliza kesi hiyo!.

My take.

Serikali ilikuwa inamsubiri Lissu aseme ndiyo nayo ijitokeze kumjibu?Rais aliahidi ndege kuwa ingewasili mwezi July mwaka huu,mwezi umekwisha ndege haijaja.

Kulikuwa na ugumu gani kwa serikali kulisemea hili mapema kuliko kumsubiri Lissu aiseme ndiyo ijitokeze kujibu,Je Lissu angekaa kimya serikali nayo ingekaa kimya?

Matokeo yake,majibu ya wizara husika kutoka kwa waziri husika na yale ya idara ya habari maelezo yanatofautiana,wananchi washike lipi?

Serikali imetoa maelezo ya kulaumu zaidi bila kuuambia umma,hiyo kesi inahusu nini? na kama kweli kuna wanasiasa wapo nyuma ya kesi hiyo,kuna ugumu gani kuwataja?

Siku zote ukweli utakuweka huru.


Kaka yangu Dotto hii thread uliyoandika utatafutwa kwa kosa la uchochozi. Ila hakuna mwenye uwezo wa kujibu maswali yako, naomba mwalike Polepole kwenye vipindi vyako aje afafanue au mwite waziri mwenye dhamana.

Inasikitisha sana kuona msemaji wa serikali kukusudia kumtwika Lissu zigo lao lililohoza. wenyewe wamefanya madudu sana
 
Nyie watanzania yani baba yako akinyanganywa shamba ama nyumba kisa anadaiwa watoto mtafurahia. Kizazi cha nyoka hiki-wicked society.

Je hamjui ya kwamba hizo pesa mtazilipa ninyi wana nchi kwa kupitia kodi zaidi? Je hamjui ninyi ndo mtaathirika zaidi na mfumko wa bei kwasababu dola zaenda nje? Mnafikiri serikali ama waziri ama rais ataathirika kwa lolote? Watu hawa wanaangamia kwa kukosa maarifa, iliwapasa kuhuzunika na kusikitika.
Yaani tuendelee kukaa kimya ili wazue kesi nyingine sisi tulipe!!? Uzalendo wa aina hiyo ni Mpumbavu+.

ACHA nikae KIMYA...!
 
Mambo haya yote yalisababishwa na yataendelea kusababishwa na watu hawa walioshika hatamu na tutaendelea kuumia,wanasiasa WA upinzani wanachofanya ni kutekeleza wajibu wao ambao kinsingi hautakiwi kuwafurahisha washika hatamu.Ishu hapa ni kwa washika hatamu wakome kutuingiza kwenye maamuzi yanayotutia hasara lakini kutafuta simpathy kwa kulaumu wapinzani wanaotimiza wajibu wao ni upuuzi mkubwa
 
Ku share publically na kU damage reputation Ya serikali au nchi? Lisu kuna kitu hajui when freedom fighters wakiingia msitu watu wa kwanza kuuawa kabla ya mkoloni huwa ni puppets
Unajua watu wenye fikra kama zako kwenye huu ulimwengu wa utandawazi na uwazi, kwenye huu ulimwengu ambao nyeupe inaitwa nyeupe na si vingine, mtapata shida sana... maskini! Mnatia huruma sana, dah!!!
 
View attachment 570274
Lissu katika mtandao wake wa twita ameonekana kuyacheka majibu ya serikali juu ya "kupotea" kwa Bombadia.

Serikali imetoa majibu yasiyoridhisha na ya kujikanganya kuhusu kashikiliwa kwa ndege yake nchini Canada. Serikali imelaumu wanasiasa kuingilia mchakato huku ikiogopa kuwataja wanasiasa hao

Nini maoni yako
Ha!ha! Just ha!ha!

[emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419]
Nakazia tu.
 
Nyie watanzania yani baba yako akinyanganywa shamba ama nyumba kisa anadaiwa watoto mtafurahia. Kizazi cha nyoka hiki-wicked society.

Je hamjui ya kwamba hizo pesa mtazilipa ninyi wana nchi kwa kupitia kodi zaidi? Je hamjui ninyi ndo mtaathirika zaidi na mfumko wa bei kwasababu dola zaenda nje? Mnafikiri serikali ama waziri ama rais ataathirika kwa lolote? Watu hawa wanaangamia kwa kukosa maarifa, iliwapasa kuhuzunika na kusikitika.
kwahiyo ulitaka tukae kimya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani tuendelee kukaa kimya ili wazue kesi nyingine sisi tulipe!!? Uzalendo wa aina hiyo ni Mpumbavu+.

ACHA nikae KIMYA...!
Kitu siyo uzalendo, kitu nikuwa traitors. Aliyewaambia hawa wazungu ni akili za mwafrika kabisa kachongea. Mzungu akikaa miaka 2 ana rwite off deni, bad debt anaachana nalo. Ila hii mbinu ya kufufua makaburi ya miaka 10 iliyopita ni mzungu kashawishiwa na akili za kiafrika, wicked one.
 
Yaani Serikali inatamani sana imkamatishe Lissu kesi ya ajabu ajabu
 
Nilianza kuwa na wasi wasi baada ya kuona msukuma haongelei ndege kwenye hotuba ambazo mara zote anaongelea yaleyale. he has nothing new
 
kwahiyo ulitaka tukae kimya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu siyo uzalendo, kitu nikuwa traitors. Aliyewaambia hawa wazungu ni akili za mwafrika kabisa kachongea. Mzungu akikaa miaka 2 ana rwite off deni, bad debt anaachana nalo. Ila hii mbinu ya kufufua makaburi ya miaka 10 iliyopita ni mzungu kashawishiwa na akili za kiafrika, wicked one.

Hiii inaonekana aliye initiate ni kutoka ndani after all chief Magungo hawakuanza leo. Waambieni wazungu madeni yenu yote mwalipe mkatwe kodi ili myalipe ili mfurahie.
 
Halafu anatokea mtu anagomea watu kufanya siasa kwani anajua wanasiasa wakiongea wataweka mambo hadharani. Hapa ndio naona jinsi Tundu Lisu alivyomzalendo kwa nchi yake na sio kujipendekeza kwa rais.
Ni msaliti namba moja!
 
Always majibu mepesi kwenye maswali magumu

Viva Lissu
 
Back
Top Bottom