BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,930
Serikali isilamimike lalamike kuhusu ili moja ya njia ya kunyoosha nchi ni kulipa na madeni,...
Hii iko juu nawa subiri nioneHao wanasiasa ndio walinyang'anya tender kinyemela?!
Hao wasioitakia mema nchi hii ndio mahakama iliyotoa huo uamuzi?
Mahakama iliyotoa huo uamuzi haitambuliki katika mkataba tuliosaini wenyewe na mkandarasi/mdeni wetu tukiwa na akili timamu?
Nani amesema mkilipa deni la watu hiyo ndege haiji?
Mbona mnataka kutufanya nchi nzima mabashite?
Alafu mbona mliukuwa mnafanya siri?!
Nyinyi mlioamu kufanya siri kwa walipa kodi na alieamua kuwaeleza ukweli walipa kodi,ni nani mzalendo?
Anaetuambia kila siku msema kweli ni mpezni wa Mungu ni nani kama sio boss wako?
Pathetic!!
Huyo msemaji umemuona jina lake?nae ni beneficiary wa mipango mingi nchi hii.Ningekuwa Mimi nigekaa kimya, ningejificha chooni na kujivutia ka sportsman kimyakimya kwenye kadirisha ka choo.
Ununuzi wa ndege ya 3 ya Bombadier umeingiliwa na mgogoro uliotengenezwa na wanasiasa na watu wasioitakia mema Tanzania.
"Wanasiasa waliotengeneza mgogoro huo wanahujumu maendeleo ya nchi na usalama wa raia"-Kaimu Mkurugenzi Mkuu-Idara ya Habari Zamaradi Kawawa
Ndege ya 3 ya Bombadier ipo na inakuja kwahiyo wananchi waiamini Serikali yao. Serikali imesikitishwa na ushiriki wa wanasiasa na baadhi ya watu kuhujumu maendeleo ya nchi.
Watanzania tuwe wazalendo kulinda,kutetea na kukabiliana na hujuma zozote zinazorudisha nyuma maendeleo ya Nchi.
Watanzania, Tuunge mkono jitihada za Rais Magufuli katika kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya chama, kabila au dini. Kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hatua za Kidiplomasia na sheria zimeanza kuchukuliwa ili kumaliza jambo hili.
Unaweza kusoma mwenyewe tweets za kaimu msemaji wa serikali.
View attachment 570220
View attachment 570219
..Halafu sasa visingizio vyenyewe vya kijiiinga kabisa.mliyataka wenyewe . sasa mtulie msilete visingizio.
Wapi uliambiwa Serikali imekataa kuwa haidaiwi?Uwongo haujawahi kushinda ukweli hata siku moja. Kwani kuna ubaya gani kukubali kuwa tunadaiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
ukurupukaji wa magufuli unaligharimu taifa.mwelezeni ukweli mwisho wake utakuwa mbaya sana.Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
Hivi kweli akili yako inamaana ilo deni halipo wewe huoni serekali inajitekenya na kucheka yenyeweYou are right kuna sheria nchi zote duniani isiyoandikwa inasema heri mtu mmoja aangamie kuliko taifa liangamie. Serikali iache ulege lege if killing kill them
Utawala wa awamu hii ya 5, umefitinika...Ccm huwa nyie ni waongo siku zote hakuna siku tutawaamini.mkitaka kuficha uongo wenu mnatafuta mpinzani wa kumbebesha lawama.wapinzani /mpinzani aliyepo nyuma ya kesi hiyo ni nani na kwa vipi?
Nikisema kuna uvccm wanatumwa mitandaoni kuweka picha ya jambo mapema ili mkikabwa mthibitishe kua uongo wenu uliotangulizwa na vijana wenu ni kweli kua ndivyo wapinzani walivyohusika ktk jambo fulani.
Haya yote ni ya kutengeneza na sio ya kweli ingekua kweli ktk hicho kikao Lisu angevamiwa na mngesha muua kwa risasi huo ni uongo,uzushi na utoto.hamuaminiki tena nyie ktk uso wa nchi wezi wa raslimali za nchi nyie .
Asante sana Mungu kwa hawa wezi, kauli zao kupandiliana kama sio kupishana,kwa ajili ya kuficha usahihi wa maovu yao.zidi kuwaumbua usiwasazie ficho aibu yao izagae had i miisho yote ya dunia,Amen
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajabu ya Mzee Rajabu kumuoa Mwajabu binti Rajabu..Anashindwa kuiongoza familia yake, mnategemea ataweza kuliongoza taifa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlienda shule kukua viimo au nn mbona mna arguments za kitoto sana, so kodi yetu inayotumiwa vibaya inafananishwa na shamba la babako? You a fool at highest levelNyie watanzania yani baba yako akinyanganywa shamba ama nyumba kisa anadaiwa watoto mtafurahia. Kizazi cha nyoka hiki-wicked society.
Je hamjui ya kwamba hizo pesa mtazilipa ninyi wana nchi kwa kupitia kodi zaidi? Je hamjui ninyi ndo mtaathirika zaidi na mfumko wa bei kwasababu dola zaenda nje? Mnafikiri serikali ama waziri ama rais ataathirika kwa lolote? Watu hawa wanaangamia kwa kukosa maarifa, iliwapasa kuhuzunika na kusikitika.