Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

nasi tumnyonge bwana yule kuwa chanzo cha matatizo kila anapovunja mkataba, anaponunua ama kukamata kitu lazima taifa liingie hasara
 
Tundu amefanya nini,tugusie kidogo wengine siasa zimepita kushoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mordechai Vanunu hajanyongwa, yupo hai hadi leo
 
Since yesterday unapost upupu kulinda kitumbua chako ,ninyi ndo wasaliti wakubwa wa nchi mngekua China mlistaili kunyongwa.Unahangaika kupambana na ukweli wa Lissu.Mnafiki mkubwa
 
Leo imefika Mahali Tanzania tunahitaji Utawala kama wa Iran au Pakistan ninachojua hizo nchi ni religious State wako na sheria zao Sharia we are Secular state.

Tunahitaji Uzalendo tu na kuipenda Nchi yetu ndo suala la Msingi,we kama binadamu huna mamlaka ya kutoa Uhai wa mtu mwingine dhidi ya kujitafutia laana Ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga

damu ya mtu inadai utaua leo je na wewe utaishi Milele??

Tunahitaji Umoja wa kitaifa basi ndo suala la msingi sidhani na sitegemei kama kuna mtu anachukia maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si lazima kuua hata vizuizi vipo
 
Habari yote pamoja na majina ya uliowataja ni uongo mtupu.Kadanganye wenzio wenye level ya kiprimary kid Kama wewe
 
mbona hujatuambia huyo T.A.L kafanya nn!!!???

Alafu,,, hata hivyo mbona adhabu zote unazijua!! ww chagua moja hapo mpe. Ukimalizana nae huyo, uje kwa huyu anayetulipisha bil 87.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…