wapinzani wanaonyesha mkuu anavyopinda anatakiwa anyooshwe kwanza yeyeKwa movement kama hizi za wapinzani itachukua muda sana kutawala nchi.
Maana wanakuwa na siasa za wanaharakati zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
zinawakera sana.achaneni nazoKwa movement kama hizi za wapinzani itachukua muda sana kutawala nchi.
Maana wanakuwa na siasa za wanaharakati zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa ndege ya akina nani?Wakati Trafiki, TRA na Sumatra wanawaonea boda boda kwa kukamata piki piki zao.
Ndege yao nayo imekamatwa boda boda wamelipa fain elf 30, wao wanalipa bilion 80.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelewa kwamba hizo billioni 80 unalipa wewe? pamoja na kulipa boda boda 30,000, pia unalipa na hizo billion 80 ambazo zimetokana na waoWakati Trafiki, TRA na Sumatra wanawaonea boda boda kwa kukamata piki piki zao.
Ndege yao nayo imekamatwa boda boda wamelipa fain elf 30, wao wanalipa bilion 80.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndege ya ccm.mnaokwenda na mitisheti yenu.kwenye shughuli za maendeleo.We jamaa ndege ya akina nani?
Haha Somo la uraia bado lipo kweli?
Ama kweli elimu ya bure haina thamani.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji144] [emoji144]Wakati Trafiki, TRA na Sumatra wanawaonea boda boda kwa kukamata piki piki zao.
Ndege yao nayo imekamatwa boda boda wamelipa fain elf 30, wao wanalipa bilion 80.
Sent using Jamii Forums mobile app
That's karma man![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] So what comes around goes around sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Let's jus be great thinkers jamani.... Ilikuwa ni njia tu ya kuweka post yake! Tusimrarue sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bàaadhi ya Watanzania wapumbavu kweli kweli kwani hiyo bilion inatoka mfukoni kwa nani??
Huyu ni Greatthinker???Let's jus be great thinkers jamani.... Ilikuwa ni njia tu ya kuweka post yake! Tusimrarue sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Relax PrincessAnne its all right... People do differ. ..Huyu ni Greatthinker???
"Wanawaonea kukamata bodaboda" sheria zipo lazima zifuatwe
"Ndege yao" ya kina nani??
Atii great thinker
Hata kama tunalipa wa tz,lakini waliofanya utumbo tumewajuaBàaadhi ya Watanzania wapumbavu kweli kweli kwani hiyo bilion inatoka mfukoni kwa nani??
Wameliwa wao,au wewe?Wakati Trafiki, TRA na Sumatra wanawaonea boda boda kwa kukamata piki piki zao.
Ndege yao nayo imekamatwa boda boda wamelipa fain elf 30, wao wanalipa bilion 80.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hata bodaboda huwa wanafanya utumbo ndio maana zinakamatwa
wewe ni raia wa nchi gani?Wakati Trafiki, TRA na Sumatra wanawaonea boda boda kwa kukamata piki piki zao.
Ndege yao nayo imekamatwa boda boda wamelipa fain elf 30, wao wanalipa bilion 80.
Sent using Jamii Forums mobile app
Du nimeshangaa mtu anashangilia serikali kulipishwa Hiyo pesa anasahau hilo si deni la serikali ni la kila mtanzania !tulipaswa tusikitike badala ya kushangilia maana impact yake itatugusa indirectlyWe jamaa ndege ya akina nani?
Haha Somo la uraia bado lipo kweli?
Ama kweli elimu ya bure haina thamani.