Sasa hapo shida yako ni nini haswa?Ni wayforward gani anayotoa Lisu zaidi ya upotoshaji na uchochezi? Ndege itakuja tu na mbinu za Lisu na wenzake kamwe hazitafanikiwa, siku zote Shetani mwisho wako nikushindwa, eti Lisu yuko very clear, Lisu angekuwa Clear angesema Mwl.Nyerere Baba wa Taifa hili kwamba eti alizoea vya kunyonga? Lisu angemshambulia Lowasa kwa miaka 8 nakumdhalilisha kuwa Fisadi? Lisu ndani ya siku 7 angeweza kubadili kauli yake baada ya kupewa mgao wa fedha haramu ya Fisadi Lowasa toka bil.12 ambazo alipewa mgao na Mbowe na Lisu akawa kimya nakulazimika kumsifu Lowasa? Lisu angekuwa clear angesema upuuzi kwamba eti Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina Hati ya Muungano ? Na baada ya kuoneshwa akajawa na aibu? Huyu ndiyo mtu clear ? Huyu ni Shetani tu, ni mlamba matako ya wazungu na wote wenye fedha ni msaka tonge. Tundu Lisu anafaa kufungwa jiwe kubwa shingoni na kutupwa Ziwani au baharini tena katikati. Na ukimuona mtu yeyote anamtetea Lisu ujue mtu huyo aidha anatabia za kishetani, au ni Li-Chadema, au Elimu yake na ustaarabu wake ni poor, au hajitambui, au alilelewa vibaya na wazazi/walezi wake, au hana dini au imani yeyote, au ni Nyumbu, au anaroho ya Kishetani. Mtu huyu kwa hakika anahitaji Maombezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia hoja zangu kama ni za ushabiki. Mimi ni mtu huru kwa vipimo vyote. Sina haja ya kuwa shabiki wa mtu bali ninalazimika kuwa shabiki mtiifu wa nafsi yangu katika ukweli.Mtu yeyote mwenye mapungufu ya uelewa hawezi kuelewa post za wanaoelewa, kwake mtu huyu mtililiko mzuri wa uandishi ni kuisema vibaya Serikali na kumsifu Mbowe Ziro na Dj, kumsifu Lowasa Fisadi , kumsifu Shetani Lisu. Lakini kinyume na hapo mtililiko haupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ningekuunga mkono kama mkeo yeye ndiye angekuambia kuwa hataki kwenda kwenye mwenge na hata kununua vitenge vile yeye binafsi hataki. Lakini wewe kwasababu ya Mfumo Dume umedai eti ulimzuia au kumkataza kushiriki mwenge ili hali mkeo ni mtu mzima na kwa mjibu wa Katiba anayo haki ya kwenda kokote kule nakushiriki shughuli yoyote ile halali. Je wewe kumzuia unatimiza utii kwa Katiba ya Tanzania? Kama unavunja sheria na Katiba kwenye ngazi ya Familia tu, je unapataje ujasiri wa kukosoa mambo ya Kitaifa?kweli efd ni maamuzi ya ajabu kweli ,lengo rerikali ipate mapato ni aibu kushindwa kubuni vyanzo vya mapato ambavyo ni endelevu, nasikia watumishi wa umaa (walimu ) kule mwanza walilazimishwa kununua vitenge na washone mavazi kama sare ya mwenge na waka ambiwa lazima wakakeshe kwenye mwenge, mi nmemwambia mama watoto wangu ambaye ni mwalimu hakuna kitu kama hicho. sasa najiuliza ina maana viwanda wanavyo jivunia bidhaa zake zimekosa soko hadi walimu walazimishwe kuzinunua? Badae watu wakihoji utasikia wanasiasa wanakwamisha viwanda kweli? suala la malizetu kukamatwa nje ya nchi ni jambo baya ,tufikie mahala wanao sababisha hasara wawajibishwe mmojammoja .
Kuna mjadala mpana hapa, kama hawasikiliziwi ushauri wanaoutoa sasa wanakaa ofisini kufanya nn? Ndo maana nimesema kuna udhaifu sehemu.Benchi la ufundi la upande wa wanasheria siyo weak Bali hataki kulisikiliza.......
Yeye anajiona anajua each and everything .......
Refer ile kauli yake aliyoitoa siku za nyuma kuwa I WISH I COULD BE IGP!
Ni wendawazimu kutokuwa makini katika maamuzi halafu ukaishi kwa kutegemea kushinda kesi mahakamani. Mahakama zinatoa maamuzi kwa kupima kama umevunja sheria au makubaliano au hapana. Utakuwa kichaa ufanye makosa halafu utegemee wakili makini kukutoa katika hatia.Tundu Lisu kesi ngapi ambazo aliwahi kuzitetea zikaleta tija kwa Taifa. tundu ni Shetani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu yeyote anayeweza kuishabikia nafsi yake, mtu wa jinsi hii ni hatari sana kwa mstakabari wa maisha na maslahi ya jamii inayomzunguka. Madai yako kuwa eti hushabikii mambo ya watu wengine ni kudhihirisha dosari kubwa uliyonayo wewe ktkt mahusiano na jamii. Binadamu huwezi kuishi "in isolation" , lazima uchangamane, ujifunze kwa wengine na wao wajifunze kitu kutoka kwako. Narudia Tundi Lisu anamapungufu lukuki ya kiuelewa.Fuatilia hoja zangu kama ni za ushabiki. Mimi ni mtu huru kwa vipimo vyote. Sina haja ya kuwa shabiki wa mtu bali ninalazimika kuwa shabiki mtiifu wa nafsi yangu katika ukweli.
Pole sana kama unautumikia utumwa wa fikra za kumwabudu mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unamanisha watanzania twahitajika tuwe kama Lisu? Unafikiri tutafanikiwa kirahisi kuwa na Tz ya viwanda? Kama ndio, ebu weka mikakati ya kutugeuzaMkuu huyu aliyesababisha hilo deni ,sasa hivi ni kama kamungu , maana hajaribiwi na anaogopwa zaidi ya Mungu
Unahitaji kuwa Lissu kumpinga Lissu
Naomba niongezwe kwenye list ya wasalitiAmani ya nchi ikivurugika wasaliti watakimbilia kwa waliowatuma wewe mleta mada uliyepo hukio nakapanya utakimbilia wapi.
Kuweni makini na wanasiasa wasio na misimamo kama hao watetezi wa accacia.
Acha povu babu yenu Kipara ndio alivunja mkataba kwa kukurupuka 2010kenya kuna upinzani ila sio wa kijinga kama wakina tundu lisu wakutakia mabaya nchi na kuwa abudu weupe, kuwashinikiza wakamate hiyo ndege, sijapata kuona ujinga kama huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ninani Mwendawazimu kati ya hawa wawili?Ni wendawazimu kutokuwa makini katika maamuzi halafu ukaishi kwa kutegemea kushinda kesi mahakamani. Mahakama zinatoa maamuzi kwa kupima kama umevunja sheria au makubaliano au hapana. Utakuwa kichaa ufanye makosa halafu utegemee wakili makini kukutoa katika hatia.
Watu werevu hutumia muda wao mwingi katika tahadhari za kuhakikisha hakuna ukiukaji wa sheria au makubaliano ya kisheria kabla ya kuamua.
Sent using Jamii Forums mobile app
....Wimbo umebuma, acheni kulisababishia taifa hasara kwa maamuzi ya kukurupuka.Pia mkipewa ushauri,bila kujali itikadi za vyama, muwe mnapokea.Amani ya nchi ikivurugika wasaliti watakimbilia kwa waliowatuma wewe mleta mada uliyepo hukio nakapanya utakimbilia wapi.
Kuweni makini na wanasiasa wasio na misimamo kama hao watetezi wa accacia.
Hehehe....but kaujumbe kameeleweka.
Hapa watu wanazungumzia upumbavu Wa watu nawe unaona usijiweke nyuma wasikusahau kuwa ni mmoja Wa hao wapumbavu!Amani ya nchi ikivurugika wasaliti watakimbilia kwa waliowatuma wewe mleta mada uliyepo hukio nakapanya utakimbilia wapi.
Kuweni makini na wanasiasa wasio na misimamo kama hao watetezi wa accacia.
Kujitegemea katika fikra hakumaanishi kuwa umejitenga na jamii bali kuukubali utu wako kuwa wewe ni kama binadamu wengine, una akili, utashi, na utu kama binadamu mwingine.Binadamu yeyote anayeweza kuishabikia nafsi yake, mtu wa jinsi hii ni hatari sana kwa mstakabari wa maisha na maslahi ya jamii inayomzunguka. Madai yako kuwa eti hushabikii mambo ya watu wengine ni kudhihirisha dosari kubwa uliyonayo wewe ktkt mahusiano na jamii. Binadamu huwezi kuishi "in isolation" , lazima uchangamane, ujifunze kwa wengine na wao wajifunze kitu kutoka kwako. Narudia Tundi Lisu anamapungufu lukuki ya kiuelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utetezi wa kijuha huu alieliingiza taifa kwenye hayo matatizo ni Lisu au Magu?Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo