kisana kiki
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 266
- 287
Mkuu utawaweza Lumumba sasa, yaani wao wakishaona ugali waongee nini tena?
Sent From Kisana Kiki Iphone
Sent From Kisana Kiki Iphone
Hatari sana mkuuSerikali kudaiwa nayo wanataka iwe siri, hapo ndipo wanapotukera wengi.
Hata kama lilikosewa ni la serikali iliyopita asaiv tunasafisha makosa yote ko vuteni subiraSidhani kama hili linahitaji elimu ya sekondari kufikiri!KWA HILI NALO UAMUUNGA MKONO?go to hell!
Kama unajua si wataje haraf tukupe sabb za kuwa hapo walipoNa raisi wako ameteua...wasukuma wa ngapi kushika nafasi za juu# toa akilj mgando
Sent using Jamii Forums mobile app
Matarajio ya Watanzania ilikuwa tupate kiongozi aliye bora kuliko JK lakini tukaangukia tulipo leo, hata wengi kuona kuwa ni aheri ya yule ambaye awali tulidhania hatufai. We have moved from bad to worse.Vituko serious? Yaan yote anayowafanyia magufuli leo unadiriki kuandika hvo..nakumbuka kipind cha JK mliongea mengi kaja Mh magufuli kayatendea kazi leo mnakuja kuandika haya watanzania sijui mpewe nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Amani ya nchi...ha ha ha...just ha ha ha! Madudu yakishafanyika AMANI inakuwa mtaji kitisho.Amani ya nchi ikivurugika wasaliti watakimbilia kwa waliowatuma wewe mleta mada uliyepo hukio nakapanya utakimbilia wapi.
Kuweni makini na wanasiasa wasio na misimamo kama hao watetezi wa accacia.
Ama kweli!Hata kama lilikosewa ni la serikali iliyopita asaiv tunasafisha makosa yote ko vuteni subira
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo hizo tu. Kuna nyingine za samaki wake, na miradi mingi ya barabara.
Ni wayforward gani anayotoa Lisu zaidi ya upotoshaji na uchochezi? Ndege itakuja tu na mbinu za Lisu na wenzake kamwe hazitafanikiwa, siku zote Shetani mwisho wako nikushindwa, eti Lisu yuko very clear, Lisu angekuwa Clear angesema Mwl.Nyerere Baba wa Taifa hili kwamba eti alizoea vya kunyonga? Lisu angemshambulia Lowasa kwa miaka 8 nakumdhalilisha kuwa Fisadi? Lisu ndani ya siku 7 angeweza kubadili kauli yake baada ya kupewa mgao wa fedha haramu ya Fisadi Lowasa toka bil.12 ambazo alipewa mgao na Mbowe na Lisu akawa kimya nakulazimika kumsifu Lowasa? Lisu angekuwa clear angesema upuuzi kwamba eti Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina Hati ya Muungano ? Na baada ya kuoneshwa akajawa na aibu? Huyu ndiyo mtu clear ? Huyu ni Shetani tu, ni mlamba matako ya wazungu na wote wenye fedha ni msaka tonge. Tundu Lisu anafaa kufungwa jiwe kubwa shingoni na kutupwa Ziwani au baharini tena katikati. Na ukimuona mtu yeyote anamtetea Lisu ujue mtu huyo aidha anatabia za kishetani, au ni Li-Chadema, au Elimu yake na ustaarabu wake ni poor, au hajitambui, au alilelewa vibaya na wazazi/walezi wake, au hana dini au imani yeyote, au ni Nyumbu, au anaroho ya Kishetani. Mtu huyu kwa hakika anahitaji Maombezi.Nimesoma kwa masikitiko makubwa michango na lawama zinazoelekezwa na baadhi ya wachangiaji kwenye mitndao ya kijamii kwa mwanasiasa T. Lissu. Nadiriki kuwaita wapumbavu kwani wanajifichajificha bila kueleza uhalisia.
Najiuliza hivi lissu ndo nani had Iakwamishe ndege yetu?
Ni kwa nini makosa yanayofanywa na mtu flani mzigo abebeshwe lissu?
Ni dhahiri tumekuwa na kizazi cha kinafiki sana sana. Hakitaki kusema ukweli. Wanaona mh Rais akikosea hapaswi kukosolewa. Hawajui katika kukosoa na kusema ukweli ndio kuijenga Tanzania njema ya kesho. Hili lote ni tatizo lililosababishwa na mfumo mbovu wa elimu unaoleta watu/wataalamu uchwara wasio na ujasiri wa kuhoji na kushauri.
Hii yote ni kwa sababu hawajui ukweli na uelewa wao ni Mdogo. Mtu hawezi akawa anakosea then eti msomi anajitoa ufahamu na kumbebesha mtu mwingine lawama. It is a shame!!
Ukimsikiliza lisu yupo very clear.anatoa na way forward. Ccm and co,jueni mnachokipanda Leo ndicho mtakachovuna Leo. Vuteni kumbukumbu zenu nyuma kidogo muone aliyokuwa akiwashauri lissu,mkapuuza na matokeo take. Tizameni katiba mpya na mchakato mzima. Mliliingiza taifa hasara kubwa sana. Zile hela zingetumika kujenga hospital ngapi?miradi mingapi ya maji?
Mikataba haivunjwi tu hovyohovyo!!hata kama ni wewe kama investor lazima uhakikish emkataba unaoingia upo salamakwako kimaslahi. Sasa kama nyie mikataba mnasaini kwa kuwafuata hhotelini na wanaosaini ndo wale wapiga meza unategemea mini!! It is very clear. Mkitaka muwe salama jengeni timu imara ya kutengeneza mikataba. Na mnapotaka kuvunja mjataba wowote hiyo timu ishirikishwe .
Msiwe wabaguzi. Mnaacha kuchukua vichwa viwasaidie kisa wapinzani. Mnaishia kuchukua washangiliaji. What do you expect. Mtapigwa sana
NIWAULIZE KINA MPENDAZOE NA LUMUMBA WENZAKE;
1. MLIJUA KAMA NDEGE YETU ILIKAMATWA?
2. KAMA NDIO MBONA HAMKUTUSHIRIKISHA WATANZANIA WENZENU?
3.MBONA SASA MBAMSHAMBULIA ALIYETUHABARISHA?
4. ALIYEPELEKEA HASARA HIZI MNANJUA?
5. MNAAMINI KATIKA NJIA ILIYOTUMIKA KUVUNJA MKATABA?
BAADA YA HAYO HAPO JUU,WAJUE WANASIASA WALIPELEKEA NDEGE KUZUIWA:
1. MH MAGUFULI-MWANASIASA ALIYEVUNJA MKATABA ULIOPELEKEA HUKUMU ILIYOTUTAFUNA
2. MAHAKAMA-SI MWANASIASA
3. KAMPUNI-SI MWANASIASA
ng'amua mwenyewe
UKIJA KAMA UPEPO UNAPEPEA,UKIJA KAMA PEPO TUNAKEMEA
PEPO SHINDWAAAAAA
Mtu akiwa anaropoka kma vile anajihaibishaa tu...Kichwani kitu kipo sema njaa nayo huleta uchizi.
Acha longo longo mkuu...usipende sana chama ni aibu kwa mtu mzima kama wew...kua na mawazo mgando...mtukufu ataki guswa...kila kitu now kinaelekezwa kwao chato...sehemu nyingine akuna# apo anauzalendo gani...mabashite wengi..ni aibu mtu anatembea na pesa kwenh gari anagawa kama maharage ya misaada.# uku watu wanalia na gharama za maisha kupanda juu# sukari kutoka 800- 3000 kilo ndo uzalendo uo# acha unafiki we nae tunajua mmetumwa kumsafisha ila ukweli utabaki pale pale kua amekosea
Benchi la ufundi la upande wa wanasheria siyo weak Bali hataki kulisikiliza.......JPM anaweza kuwa na nia ya kweli ya kulisogeza mbele taifa ila game plan anayotumia ni weak, anashambulia zaidi bila kujilinda, hapo lazima ukae tu kama Arsenal. Benchi la ufundi hasa kwenye section ya sheria ni weak.
Crap. Hata kuandika katika mtiririko mzuri inaonekana ni tatizo.Ni wayforward gani anayotoa Lisu zaidi ya upotoshaji na uchochezi? Ndege itakuja tu na mbinu za Lisu na wenzake kamwe hazitafanikiwa, siku zote Shetani mwisho wako nikushindwa, eti Lisu yuko very clear, Lisu angekuwa Clear angesema Mwl.Nyerere Baba wa Taifa hili kwamba eti alizoea vya kunyonga? Lisu angemshambulia Lowasa kwa miaka 8 nakumdhalilisha kuwa Fisadi? Lisu ndani ya siku 7 angeweza kubadili kauli yake baada ya kupewa mgao wa fedha haramu ya Fisadi Lowasa toka bil.12 ambazo alipewa mgao na Mbowe na Lisu ajawa kimya nakulazimika kumsifu Lowasa? Lisu angekuwa clear angesema upuuzi kwamba eti Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina Gati ya Muungano ? Na baada ya kuoneshwa kajawa na aibu? Huyu ndiyo mtu clear ? Huyu ni Shetani tu, ni mlamba matako ya wazungu na wote wenye fedha ni msaka tonge. Tundu Lisu anafaa kufungwa jiwe kubwa shingoni na kutupwa Zuwani au baharini tena katikati. Na ukimuona mtu yeyote anamtetea Lisu mtu huyu aidha anatabia ta kushetani, au ni Li-Chadema, au Elimu yake na ustaarabu wake ni poor, au hajitambui, au anelelewa vibaya na wazazi/walezi wake, au gana dini au inani yeyote, au ni Nyumbu, au anaroho ya Kishetani. Mtu huyu kwa hakika anahutaji Maombezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fumaniz halijawahi kumwacha mtu salama, lazima povu litatoka tuuuu!!!!Sera za Chadema zimehamia kwenye kuhujumu uchumi
Na ww unakuwa kama huwajui vijana wa Lumumba,wakitokaga asubuh manyumban kwao kuwahi pale kijiweni huwa wananyofolewa akili zote wanaachiwa za kuvukia barabara tu then jion wanaachiwa za kurudi mahomeHuyu mama sidhani kma kichwani kuna kitu....empty