Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,044
- 5,115
Hahahahahah haki ya Mungu hii nchi imejaa maigizoRais mwenyewe havuki mipaka labda wamsubirie njia panda ya Himo, yeye akifika uwanja wa ndege ujue kuna mtu anamtafuta sio kuwa anasafili.
Kwenye uzi naona wametajwa WANASIASA, sijaona mahali walipotajwa WAPINZANI, but naona hoja zote zinaelekezwa huko? Yu mkini hao wanasiasa wanatokea Makinikia humo humo, so tusiwe wepesi wa kupindisha mada na kuhukumu. Napita tuZamaradi Zamaradi schoolmate wangu kweli 'wanasiasa ndio sababu???' Upinzani unawasaidia kuwapa mawazo ninyi mmewageuza kuwa maadui haya sasa mtanyooshea watu vidole vitatu kati ya tano vinawageukia ninyi. Mjipange upya hili la kwanza more to come
Hili neno la Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu sikuhizi Linatumika Vibaya Na viongozi wetu wa juu Hawa ishi kwa neno hiliNimesoma kwa masikitiko makubwa michango na lawama zinazoelekezwa na baadhi ya wachangiaji kwenye mitndao ya kijamii kwa mwanasiasa T. Lissu. Nadiriki kuwaita wapumbavu kwani wanajifichajificha bila kueleza uhalisia.
Najiuliza hivi lissu ndo nani had Iakwamishe ndege yetu?
Ni kwa nini makosa yanayofanywa na mtu flani mzigo abebeshwe lissu?
Ni dhahiri tumekuwa na kizazi cha kinafiki sana sana. Hakitaki kusema ukweli. Wanaona mh Rais akikosea hapaswi kukosolewa. Hawajui katika kukosoa na kusema ukweli ndio kuijenga Tanzania njema ya kesho. Hili lote ni tatizo lililosababishwa na mfumo mbovu wa elimu unaoleta watu/wataalamu uchwara wasio na ujasiri wa kuhoji na kushauri.
Hii yote ni kwa sababu hawajui ukweli na uelewa wao ni Mdogo. Mtu hawezi akawa anakosea then eti msomi anajitoa ufahamu na kumbebesha mtu mwingine lawama. It is a shame!!
Ukimsikiliza lisu yupo very clear.anatoa na way forward. Ccm and co,jueni mnachokipanda Leo ndicho mtakachovuna Leo. Vuteni kumbukumbu zenu nyuma kidogo muone aliyokuwa akiwashauri lissu,mkapuuza na matokeo take. Tizameni katiba mpya na mchakato mzima. Mliliingiza taifa hasara kubwa sana. Zile hela zingetumika kujenga hospital ngapi?miradi mingapi ya maji?
Mikataba haivunjwi tu hovyohovyo!!hata kama ni wewe kama investor lazima uhakikish emkataba unaoingia upo salamakwako kimaslahi. Sasa kama nyie mikataba mnasaini kwa kuwafuata hhotelini na wanaosaini ndo wale wapiga meza unategemea mini!! It is very clear. Mkitaka muwe salama jengeni timu imara ya kutengeneza mikataba. Na mnapotaka kuvunja mjataba wowote hiyo timu ishirikishwe .
Msiwe wabaguzi. Mnaacha kuchukua vichwa viwasaidie kisa wapinzani. Mnaishia kuchukua washangiliaji. What do you expect. Mtapigwa sana
NIWAULIZE KINA MPENDAZOE NA LUMUMBA WENZAKE;
1. MLIJUA KAMA NDEGE YETU ILIKAMATWA?
2. KAMA NDIO MBONA HAMKUTUSHIRIKISHA WATANZANIA WENZENU?
3.MBONA SASA MBAMSHAMBULIA ALIYETUHABARISHA?
4. ALIYEPELEKEA HASARA HIZI MNANJUA?
5. MNAAMINI KATIKA NJIA ILIYOTUMIKA KUVUNJA MKATABA?
BAADA YA HAYO HAPO JUU,WAJUE WANASIASA WALIPELEKEA NDEGE KUZUIWA:
1. MH MAGUFULI-MWANASIASA ALIYEVUNJA MKATABA ULIOPELEKEA HUKUMU ILIYOTUTAFUNA
2. MAHAKAMA-SI MWANASIASA
3. KAMPUNI-SI MWANASIASA
ng'amua mwenyewe
UKIJA KAMA UPEPO UNAPEPEA,UKIJA KAMA PEPO TUNAKEMEA
PEPO SHINDWAAAAAA
Bàaadhi ya Watanzania wapumbavu kweli kweli kwani hiyo bilion inatoka mfukoni kwa nani??
Sasa mbaya sio yeye tena bali ni wanasiasa na watanzania wenye chuki na wanaotaka kuhujumu jitihada za serikali ya ccm.Lkn by the way hivi hizi ndege zilikua na tija gani kwa watz hadi zianze kutugharimu hivi!
Bodi ya juu mmeshika nyinyi na mashinji mmeweka kama pazia tu kuzuga watu..
Amani ya nchi itavurugika kwa kuwa wawazi?Amani ya nchi ikivurugika wasaliti watakimbilia kwa waliowatuma wewe mleta mada uliyepo hukio nakapanya utakimbilia wapi.
Kuweni makini na wanasiasa wasio na misimamo kama hao watetezi wa accacia.
Magufuli ameteua wasukuma wangapi kwenye uongozi wake.?Bodi ya juu mmeshika nyinyi na mashinji mmeweka kama pazia tu kuzuga watu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu mbona hakujiuliza tu swali hili dogo!kuna wasukuma wangapi kwenye top layer ya uongozi wa serikali yake!
Wanaokubali waseme ndiyoooooooooooooooo,,,,na meza wagongeeeeeeNimesoma kwa masikitiko makubwa michango na lawama zinazoelekezwa na baadhi ya wachangiaji kwenye mitndao ya kijamii kwa mwanasiasa T. Lissu. Nadiriki kuwaita wapumbavu kwani wanajifichajificha bila kueleza uhalisia.
Najiuliza hivi lissu ndo nani had Iakwamishe ndege yetu?
Ni kwa nini makosa yanayofanywa na mtu flani mzigo abebeshwe lissu?
Ni dhahiri tumekuwa na kizazi cha kinafiki sana sana. Hakitaki kusema ukweli. Wanaona mh Rais akikosea hapaswi kukosolewa. Hawajui katika kukosoa na kusema ukweli ndio kuijenga Tanzania njema ya kesho. Hili lote ni tatizo lililosababishwa na mfumo mbovu wa elimu unaoleta watu/wataalamu uchwara wasio na ujasiri wa kuhoji na kushauri.
Hii yote ni kwa sababu hawajui ukweli na uelewa wao ni Mdogo. Mtu hawezi akawa anakosea then eti msomi anajitoa ufahamu na kumbebesha mtu mwingine lawama. It is a shame!!
Ukimsikiliza lisu yupo very clear.anatoa na way forward. Ccm and co,jueni mnachokipanda Leo ndicho mtakachovuna Leo. Vuteni kumbukumbu zenu nyuma kidogo muone aliyokuwa akiwashauri lissu,mkapuuza na matokeo take. Tizameni katiba mpya na mchakato mzima. Mliliingiza taifa hasara kubwa sana. Zile hela zingetumika kujenga hospital ngapi?miradi mingapi ya maji?
Mikataba haivunjwi tu hovyohovyo!!hata kama ni wewe kama investor lazima uhakikish emkataba unaoingia upo salamakwako kimaslahi. Sasa kama nyie mikataba mnasaini kwa kuwafuata hhotelini na wanaosaini ndo wale wapiga meza unategemea mini!! It is very clear. Mkitaka muwe salama jengeni timu imara ya kutengeneza mikataba. Na mnapotaka kuvunja mjataba wowote hiyo timu ishirikishwe .
Msiwe wabaguzi. Mnaacha kuchukua vichwa viwasaidie kisa wapinzani. Mnaishia kuchukua washangiliaji. What do you expect. Mtapigwa sana
NIWAULIZE KINA MPENDAZOE NA LUMUMBA WENZAKE;
1. MLIJUA KAMA NDEGE YETU ILIKAMATWA?
2. KAMA NDIO MBONA HAMKUTUSHIRIKISHA WATANZANIA WENZENU?
3.MBONA SASA MBAMSHAMBULIA ALIYETUHABARISHA?
4. ALIYEPELEKEA HASARA HIZI MNANJUA?
5. MNAAMINI KATIKA NJIA ILIYOTUMIKA KUVUNJA MKATABA?
BAADA YA HAYO HAPO JUU,WAJUE WANASIASA WALIPELEKEA NDEGE KUZUIWA:
1. MH MAGUFULI-MWANASIASA ALIYEVUNJA MKATABA ULIOPELEKEA HUKUMU ILIYOTUTAFUNA
2. MAHAKAMA-SI MWANASIASA
3. KAMPUNI-SI MWANASIASA
ng'amua mwenyewe
UKIJA KAMA UPEPO UNAPEPEA,UKIJA KAMA PEPO TUNAKEMEA
PEPO SHINDWAAAAAA
Lissu n mchaga? Au anakaa kaskazini..toa uchama wako apa..umekunywa rangi ya bendera naona ya ccm
Sidhani kama hili linahitaji elimu ya sekondari kufikiri!KWA HILI NALO UAMUUNGA MKONO?go to hell!Vituko serious? Yaan yote anayowafanyia magufuli leo unadiriki kuandika hvo..nakumbuka kipind cha JK mliongea mengi kaja Mh magufuli kayatendea kazi leo mnakuja kuandika haya watanzania sijui mpewe nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua utamkimbilia Mabeyo huyo kwenye rank aliyofikia jeshin ilikuwa lazma achukue..kama makonda aliletwa na kikwete ko utulie mkuu najua michezo hii ngumu kuitetea kwenu sabb mna madudu mengi