Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Baada ya yeye kuvunja mkataba mwaka 2000-2003..

Kikwete akapiga chini kwanza ile miaka 5 ya 2006 - 2010
 
Kasome vizuri ni wapi katamka kuwa alivunja mkataba mwaka 2009?

2009/2010 kaongelea swala la kufungua kesi na hukumu kutoka 2010.
Yes, Slip, mimi nimeandika nikasema mbona sioni mahali aliposema alivunja mkataba? sijaona hata kidogo. Labda kama katika kuongea, lakini kilichoandikwa hakuna
 
Mngetusaidia vizuri kwamba hiyo kandarasi ilikuwa lini, na ilivunjwa lini, na ni nani alikuwa waziri wakati huo. Inawezekana Lissu hakumbuki tarehe hiyo hiyo nani alikuwa waziri, lakini haipunguzi ukweli kwamba hiyo kesi ya kuvunja mkataba ilikuwepo na serekali ilishindwa. Kwa changamoto kama hiyo aliyotoa Lissu imesaidia serekali kujua kwamba watu wako macho na utendaji wa serekali, na hii itapelekea serekali kuwa makini sana kwani inajua kuna watu wanafuatilia kwa makini matumizi ya fedha zao, ukiukwaji wa mikataba na sheria mbalimbali. Hizo ndio changamoto za ofisi ya umma na sio kuendesha kama unaendesha familia yako. Lissu hakikisha unazidi kutoa changamoto kadiri unavyoweza na kuwa makini zaidi unapotoa tarehe ili mtu yoyote asipate pa kuchomokea.
 
Nimesikia kasema miaka ya nyuma. Sikusikia kasema mwaka 2009. Mwaka 2009 na 2010 kazungumzia kesi. Hebu tufuatilie hiyo miaka ya nyuma kabla ya 2009 nani alikuwa Waziri wa Ujenzi. Na zaidi ile kampuni ilinyang'anywa zabuni/kandarasi mwaka gani ndo tutapata ukweli wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba kuna waka moto watu wanakuja na nyuzi tofauti kumsafisha mfalme mara biblia mara mzalendo oh vibaraka yani moja aikai mbili inajum
 
Bongo Celebrity

Lisu alishawafanya watu fulani kama msukule wake.
5.0 WORK EXPERIENCE:


2010 – To date: Minister for Works and Member of Parliament for Chato Constituency.

2008 – 2010 Minister for Livestock Development and Fisheries, and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency (Chato Constituency).

2005 – 2008: Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
2000 – 2005: Minister for Works, and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
1995 – 2000: Deputy Minister for Works and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
1989 – 1995: Industrial Chemist at Nyanza Cooperative Union (Ltd.) Mwanza.
1982 – 1983: Teacher at Sengerema Secondary School, Teaching Chemistry and Mathematics.
Bongo Celebrity
 
Mkuu,
Chunguza facts zako. Hiyo barabara unayoisema ilijengwa kati ya mwaka 2000 na 2003. Je huo wakati nani alikuwa waziri wa ujenzi?

Hukumu ya case ndiyo ilitolewa mara ya kwanza mwaka 2009 wakati Magufuli sio waziri na baadaye 2010. Lakini mkataba ulivunjwa wakati wa Magufuli.



 
Lisu hajatamka kuwa alivunja mkataba nadhani..... nimeangalia andiko sijaona. Tafuta clip uisikilize!
 
Siongelei typo. Naongelea Kingereza kibovu.
Sisi wa st. kayumba tunajua Kiingereza ni kupangilia sentensi kwa mpagilio wa subject+verb+object...na kuwa mjuvi wa nyakati za verb na matumizi yake. Hivyo hujaviona...!?
 
Kwahiyo aliwanyang'anya in advance? Yaan kipindi Cha mkapa kiliisha 2005 , wakanyang'anywa 2009 wapi Na wapi
Hiyo barabara ilikuwa inajengwa na hiyo kampuni kati ya mwaka 2000 na 2003. Mkataba ulivunjwa wakati wa Magufuli.

Case kuamuliwa ndio ilikuja kufanywa mwaka 2009. Hiyo case ilikuwa inanguruma miaka kadhaa.

Acheni kukurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…