Tatizo watu wa Lumumba thinking yenu in ZERO, Mnachojua ni KUTETEA TU....TL was very smart wakati wa Press Conference. Likija lile la Meli ya Samaki mtasema hakuwa waziri alikuwa ni PS wa wizara ya UjenziKwahiyo aliwanyang'anya in advance? Yaan kipindi Cha mkapa kiliisha 2005 , wakanyang'anywa 2009 wapi Na wapi
Kingereza kibovu.Sisi wa st. kayumba tunajua Kiingereza ni kupangilia sentensi kwa mpagilio wa subject+verb+object...na kuwa mjuvi wa nyakati za verb na matumizi yake. Hivyo hujaviona...!?
Bongo Celebrity
Lisu alishawafanya watu fulani kama msukule wake.
5.0 WORK EXPERIENCE:
2010 – To date: Minister for Works and Member of Parliament for Chato Constituency.
2008 – 2010 Minister for Livestock Development and Fisheries, and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency (Chato Constituency).
2005 – 2008: Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
2000 – 2005: Minister for Works, and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
1995 – 2000: Deputy Minister for Works and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
1989 – 1995: Industrial Chemist at Nyanza Cooperative Union (Ltd.) Mwanza.
1982 – 1983: Teacher at Sengerema Secondary School, Teaching Chemistry and Mathematics.
Bongo Celebrity
Lisu hajatamka kuwa alivunja mkataba nadhani..... nimeangalia andiko sijaona. Tafuta clip uisikilize!
ukiweza weka hapaNitapitia niisikilize
Kwanini unamtaja Mungu kwa mambo ya kijinga? Mtaje shetani kuwa kawaloga nyie msietaka watanzania tujue chochote.Lakini si watu wameelewa na ndiyo maana wanaendelea kuchangia. Watanzania wengi mna matatizo sana wakati wowote mpo kuangalia makosa tu. Mungu naona kawalaani Watanzania labda.
Mbona huwahoji waliosababisha haya? Unatumia vifungu vya biblia kuhalalisha ukurupukaji Wa viongozi? Si ungetafuta kitabu kingine cha kutumia kuliko biblia takatifu?loh! Mbona hujampasukia Yesu kutumia neno mbwa katika neno la Mungu? Mbona hujampsukia Yesu (ewe mtu wa rohoni) kwa nini yule mama alikuwa katika mtanziko mkubwa wa kisaikolojia juu ya mateso ya mwanae lakini badala yake anamwambia yule mama "mbwa watashiba baada ya watoto"? Basi,kama huwezi kumpasukia Yesu "mwasisi" Wa neno hilo mbona unanipasukia Mimi? Lipi jipya toka kwangu ambalo Yesu hakusema?
Ewe,msoma Maandiko Matakatifu bila kuwa na macho umeshindwa kuona "maandishi vizuri" katika post hii lakini je,hata sauti za kinachoendelea juu ya uonevu wa "mbwa Wa nje" dhidi yetu na sarakasi wanazotumia juu ili kufukamia chakula chetu nazo umeshindwa kuzisikia?
Ccm ndiyo tatizo sasa maombi hayo yaelekezwe kuitoa ccm madarakani
Soma hapo tangu 2005-2010 alikuwa waziri wa nini?Weka na ya Lissu.
Kwangu mimi naona ni upuuzi mtu kuwa shabiki wa Chama cha siasa au kuwa na chuki na Chama cha siasa ukiwa mtu wa namna hii ina maana hata akisimamishwa mgombea mwenye sifa utamkataa kisa tu ni wa Chama fulani au akitokea mgombea asiye na sifa utamkubali kisa wa Chama chako...Ccm ndiyo tatizo sasa maombi hayo yaelekezwe kuitoa ccm madarakani