Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msichanganye tarehe ya hukumu na tatrehe ya kunyang'anya mtu kandarasi.

Ni wazi alinyang'anya hiyo kandarasi akiwa waziri enzi za Mkapa.
Mtaaibika sana awamu hii na tunazidi kuwajua your true colours.
 
Kama hata broken english imeeleweka, kwanini tusiendelee kujadili hoja? Mbona hata kiswahili watu huwa waachapia chapia sana humu? Hebu tujadili hoja!
Siongelei "kuchapia".

Tuwache kuteteana kijinga.

Haina maana kuandika Kingereza wakati haukiandiki vizuri.

Hata aandikae Kiswahili sivyo ndivyo huelezwa vilevile.
 
..In my opinion the information you need should come from GOVT SPOKESPERSON, not Tundu Lissu.

..It is OUR GOVERNMENT that needs to come clean with regards to the allegation made by Hon.Tundu Lissu and not otherwise.
Wewe rudi Rwanda mkuu, wewe una interests zako za kijinga since you saw Magufuli favours Kagame. Kumbe not to that extent. Huyu ametoa hiyo information huku tuisome kama mlivoitoa ya kwenu ya uwongo huku tuisome.
Google angalia nani alikuwa waziri kipindi hicho linganisha na alichosema Lisu. Za kuambiwa changanya na zako, pita hivi.
 


kafanye tena home work yako.
uje utuambie nani alikuwa waziri 2000 mpaka 2005.

kipindi hao wadai walipo pewa hiyi tender.
 
Lisu alisema Magufuli aliivunja, hiyo clip akiongea hivyo huku akishika shika pua lake ipo YouTube. Msijitoe ufahamu
 


..sasa kazi ya msemaji wa serikali ni nini?

..kuna mambo matatu ambayo msemaji wa serikali anapaswa kutusaidia.

..kwanza mkataba ulivunjwa mwaka gani? Nani alikuwa waziri.

..kesi ya kwanza ilisikilizwa mwaka gani? Nani alikuwa waziri.

..rufani ilikatwa mwaka gani na iliamuliwa mwaka gani? Nani alikuwa waziri.

..pia angesaidia kama angewataja Makatibu wakuu kwa kipindi chote hicho.
 
Acha utumwa kujifanya mzungu kuku ww!!. Hawa hawa ndio wanahubiri uzalendo..uzalendo tu wa kiswahili umekushinda ..

By the way Who was the Mimister by 11 Dec 2010 when hearing for the Referral Case? (Objection of the first ruling-ISCD). Under whose's regime (minister) the payment could have been cleared?

JPM KAMATA WEZI
 
Kitabu kipi kitakatifu
 
Lisu alisema Magufuli aliivunja, hiyo clip akiongea hivyo huku akishika shika pua lake ipo YouTube. Msijitoe ufahamu

Ikiwepo humo youtube sio lazima niwe nimeisikia. So siwezi kujenga hoja yangu moja kwa moja bila kuisikia boss. Ila ww uliyesikia alichosema hakuna anayekuzuia kufunguka. Mwagika upendavyo hiyo ndio demokrasia.
 
2000-2005 faru john alikuwa waziri wa ujenzi mkataba ulivunjwa mwaka 2003 akiwa waziri
 
Lisu alisema Magufuli aliivunja, hiyo clip akiongea hivyo huku akishika shika pua lake ipo YouTube. Msijitoe ufahamu
Sasa kama barabara ilijengwa 2000-2003 nani alivunja mkataba hiyo 2003?

Sent by Tukunyemamzee
 
Pmkama,
Salama lakini?
Kwa taarifa tu kama umeshindwa kufuatilia taarifa zote. Huyu Mkandarasi alikuwa anajenga barabara ya Wazo Hill kuanzia mwaka 2000 mpaka 2003.

Inasemekana ni katika kipindi hicho hicho mkataba wake ulivunjwa. Kwahiyo hiyo kazi walipewa wakati wa rais Mkapa na kunyang'anywa wakati wa rais Mkapa.

Haya mambo ya 2009 na 2010 ni mambo ya kutolewa hukumu tu. Wewe mwenyewe unajua haya makesi makubwa makubwa yanachukua miaka mpaka kutolewa hukumu.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…