Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...


Unamaanisha nini kwa sentensi yako ya kwanza? Hapo tayari umeonyesha dalili za ubabaishaji wako katika kuwasilisha ujumbe hivyo sitashangaa kama hujaelewa ujumbe wangu.

Anyway, nakubali kutokubaliana na wewe kwa vile umetoka kwenye muktadha wa mada husika.
 


Inahujumiwa kivipi?
Nionyeshe mkuu wa wilaya maskini nitakuonyesha mpinzani maskini.

Nionyeshe mkurugenzi maskini, nitakuonyesha mpinzani maskini.

Nionyeshe mkuu wa wilaya maskini nitakuonyesha mpinzani maskini?

Nionyeshe waziri maskini nitakuonyesha mpinzani maskini.

Nionyeshe Rais mstaafu maskini nitakuonyesha mpinzani maskini.

Wote wameingia madarakani wakiwa maskini wanatoka wakiwa matajiri na mali zisizo na maelezo ya kutosha.
Bila shaka umeshajua nani ameihijumu hii nchi.

Wote tukifikiri sawa kama wanakwaya wanapoimba wimbo na kumechisha sauti kwa pamoja utakuwa ndio mwanzo wa kupoteza ubinadamu wetu na kuwa kama malaika wa Mungu.
 
Nataka niamini hawa wasomi wamesoma bure tu
Hivi tundu lisu anashabikia au anataka serikali Itatue matatizo yake kwa kufuata taratibu na sio kukurupuka kunakoiletea nchi matatizo ikiwa ni pamoja na kutumia kodi zetu kulipia madeni yanayotokana na uzembe wa serikali kuamua mambo kwa kukurupuka

Lisu ni mzalendo na tunastahili kumpongeza kwa uzalendo wake wa kutaka kila mwananchi ajue kinachoendelea katika nchi yake
 
Anashabikia kwa vipi? Kusema ukweli kuwa mkifanya hili, tutalipa fidia kubwa msifanye hivyo! Ndio kushabikia matatizo?
 
Tatizo la serikali yetu kama ilivyo kwa serikali nyingi za kiafrika ni kuwa reactive badala ya kuwa proactive!! So they waited for a Learned Counsel Tundu Lissu to utter all these before they inform us on the matter!!!
 
Achana na hawa wanaojiita wasomi wa Tz.... Hakuna kitu kabisa!!!
 
Uelewa wako au nia ya kutetea serikali imekufanya uonekane "kituko" katika hiki ukichokiandika
 
https://www.google.com/url?rct=j&sa...pJRTpM&usg=AFQjCNG7vTT2xMwr5d_j2CwGaZwepo2NWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…