Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza na Wanahabari, leo Machi 24, 2024, mada Miaka Mitatu ya Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
KUHUSU KAULI YA WAZIRI NDUMBARO
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema “Katika Lugha za michezo utani ni kitu cha kawaida, mnapozungumza 80% ni utani na 20 ndio ukweli, mkizungumza habari za Simba na Yanga ukang’ang’ana kitu kama kilivyoandikwa utafika hatua utawachosha watu.”
Amesema hayo wakati akifafanua kauli iliyotolewa na Waziri wa Michezo, Damas Ndumbaro kuwa mashabiki watakaguliwa pasi za kusafiria wakati wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakayohusisha Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
Ameongeza “Hizo ni timu ambazo zinapenda utani, zinapokea ujumbe katika lugha rahisi, si kweli kuwa Waziri alimaanisha kutakuwa na ukaguzi wa Passport, anayehusika na ukaguzi halali ni Idara ya Uhamiaji ambayo hakuitaja alipozungumza.”
Matinyi ameongeza kuwa “Watu wamekomaa na utani hadi Mamelodi wamesikia, wameingia uoga hadi TFF wameamua kuandika barua kuwaeleza suala hilo halipo.”

Mtani wangu, this time around I beg to differ. Hana sababu ya kujiuzuru, alikuwa anasisitiza Uzalendo mpaka akapitiliza. Alikuwa hana nia mbaya. Ni sawa na wewe unaweza kuwa unakimbilia nyumbani Butiama, ukapitiliza huyo Butuguri mpaka Nyankanga huko. Utalaumiwa?Ila lenyewe bado lipo tu hata halijali na halioni kuwa lilitaka Kuiponza nchi FIFA katika Medani ya Mchezo wa Soka.
Sikuwahi kuamini kama kuna Wangoni wapumbavu kiasi hikiIla lenyewe bado lipo tu hata halijali na halioni kuwa lilitaka Kuiponza nchi FIFA katika Medani ya Mchezo wa Soka.
Shia hawawez kuudhalilisha uislamu kwa kuwatukana, kubeza na kudharau maswahaba. Pia hawawez kumtukana mke wa kipenzi chetu eti kahaba. Lazima pachimbike maamaeeIla lenyewe bado lipo tu hata halijali na halioni kuwa lilitaka Kuiponza nchi FIFA katika Medani ya Mchezo wa Soka.
Magufuli angeunga mkono ndumbaro yuko sahihi pia, wenye matatzo sisi tuliochukulia vibaya. Hmna fairness ndumbaro kakosea kwenye medani yetu ya mpira.Shida haipo kwa akili mbovu ya Ndumbaro, shida ipo kwa aliyemteua Ndumbaro, huenda huyo bosi kina Ndumbaro na wahuni wenzake wamemroga ili awe ni mtu wa kurembua tu macho pale wanapoboronga 😂😂
Magufuli asingekubali mjinga kama Ndumbaro aendelee na uwaziri kwa huo ujinga alioufanya.
Kwani bado yupo ofisini??? Anasubiri nini?Ila lenyewe bado lipo tu hata halijali na halioni kuwa lilitaka Kuiponza nchi FIFA katika Medani ya Mchezo wa Soka.
Na wewe unatania?Magufuli angeunga mkono ndumbaro yuko sahihi pia, wenye matatzo sisi tuliochukulia vibaya. Hmna fairness ndumbaro kakosea kwenye medani yetu ya mpira.