FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ila tungeweza kufungiwa FIFA kwa hadi miaka mitatu, serikali ni facilitator tu, haipaswi kuondkana ikiingilia utendaji katika maambo ya mpira.Mtani wangu, this time around I beg to differ. Hana sababu ya kujiuzuru, alikuwa anasisitiza Uzalendo mpaka akapitiliza. Alikuwa hana nia mbaya. Ni sawa na wewe unaweza kuwa unakimbilia nyumbani Butiama, ukapitiliza huyo Butuguri mpaka Nyankanga huko. Utalaumiwa?