Msemaji wa Serikali: Suala la mashabiki kukaguliwa ‘Passport’, Waziri Ndumbaro alikuwa anatania

Mpaka hapo, anaendeleza kuonesha kwamba kiujumla yeye ni kilaza.. 🤒🤒.
 
Seriousness inahitajika ,na umakini katika kuchuja maneno kabla ya kuyatoa ni lazima, kuzingatia kuwa mtu ni kiongozi wa serikali na maneno yanasikilizwa moja kwa moja na wananchi....Hilo Halikuwa sawa kabisa ..Hatutegemei kitu kama hicho kitajirudia kwa kiongozi mwengine yoyote....Some thought of Recklessness and stpd.
 
Hakuwa akitania sema ameona watu wamemjia juu na kumtoa nishai ndiyo ameona aokoe jahazi,viongozi wa serikali wasijione miungu watu na kutaka kuwapangia kila kitu wananchi hiyo sio sawa.
 
Mwanzo wa mwisho. Huwezi kutania ukiwa umekaza shingo namna ile. Mwenye video yake ya kutania aiweke hapa halafu tuone iwapo mwili wake nao ulikuwa unatania ama kumaanisha
 
Hii ya kusema utani nayo itakua mbaya siku moja. Yatakua yanatoa maagizo watu hawatekelezi afu wakiulizwa wanasema tulijua utani kama alivyofanya Ndumbalo
 
Wanamsaidia kutengua kauli yake ? mizaha ya namna hiyo haifai kwa kiongozi mkubwa, maana kauli aliyotoa haikuwa na ishara ya utani yalikuwa ni maelekezo. Tena aliongea kwa sauti ya mamlaka.
 
Ila lenyewe bado lipo tu hata halijali na halioni kuwa lilitaka Kuiponza nchi FIFA katika Medani ya Mchezo wa Soka.
 
Utani Gani wa namna hiyo. Utani mbele ya camera Tena waziri kauli za kijinga anazitoa
 
Serikali imejaa viongozi wajinga sana
 
Ila lenyewe bado lipo tu hata halijali na halioni kuwa lilitaka Kuiponza nchi FIFA katika Medani ya Mchezo wa Soka.
Mtani wangu, this time around I beg to differ. Hana sababu ya kujiuzuru, alikuwa anasisitiza Uzalendo mpaka akapitiliza. Alikuwa hana nia mbaya. Ni sawa na wewe unaweza kuwa unakimbilia nyumbani Butiama, ukapitiliza huyo Butuguri mpaka Nyankanga huko. Utalaumiwa?
 
Ila lenyewe bado lipo tu hata halijali na halioni kuwa lilitaka Kuiponza nchi FIFA katika Medani ya Mchezo wa Soka.
Shia hawawez kuudhalilisha uislamu kwa kuwatukana, kubeza na kudharau maswahaba. Pia hawawez kumtukana mke wa kipenzi chetu eti kahaba. Lazima pachimbike maamaee
 
Shida haipo kwa akili mbovu ya Ndumbaro, shida ipo kwa aliyemteua Ndumbaro, huenda huyo bosi kina Ndumbaro na wahuni wenzake wamemroga ili awe ni mtu wa kurembua tu macho pale wanapoboronga 😂😂

Magufuli asingekubali mjinga kama Ndumbaro aendelee na uwaziri kwa huo ujinga alioufanya.
 
Magufuli angeunga mkono ndumbaro yuko sahihi pia, wenye matatzo sisi tuliochukulia vibaya. Hmna fairness ndumbaro kakosea kwenye medani yetu ya mpira.
 
Yeyote aliyeamini kuwa taarifa ya msemaji ni ya kweli basi na yeye anatania 😏

Tuamini sasa kuwa maamuzi yote ya serikali huwa ni ya kutania.
 
KWAKUWA KAGOMA KUACHIA NGAZI
Aliyemteua Afute Kazi Sasa Kazi Ya Ndumbaro
 
Magufuli angeunga mkono ndumbaro yuko sahihi pia, wenye matatzo sisi tuliochukulia vibaya. Hmna fairness ndumbaro kakosea kwenye medani yetu ya mpira.
Na wewe unatania?

Tutafika kwenye maendeleo tukiwa tumechoka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…